Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Wewe ni haszu
Hii ni riwaya tu, ongeza bidii hujaiva badoMimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu.
Nilipoingia darasa la sita, familia iliniamini sana. Nilikuwa nakaa kwa dada yangu mkubwa, alinihudumia kama mama. Shemeji yangu, mume wa dada yangu, alikuwa kama baba kwangu. Lakini usiku mmoja uliharibu kila kitu, alinibaka. Nilijichukia sana.
Dada yangu hakutaka kusikia haya mambo, alisema namkosea heshima mume wake. Nilikuwa nalia kila usiku. Hakuna aliyeniona, hakuna aliyeniuliza, "Uko sawa?"
Miaka ikaenda, niliendelea kusoma, lakini nikawa siyo yule yule tena. Nilianza kuwa na hasira na wanaume, nikawa siamini mtu yeyote. Nilijifundisha kuficha chuki yangu ndani ya tabasamu, na nikaanza mpango wangu wa kulipa kisasi. Bila kujua, nilikuwa nimeambukizwa virusi vya UKIMWI na shemeji yangu.
Nilipofika chuoni, nikageuka kuwa mtu mwingine. Nikawa natafuta wanaume, hasa waliooa. Nilikuwa nawafanya wanione kama mwanamke wa ndoto zao. Nikawaambia maneno wanayotaka kusikia, nikawapa mapenzi ya kuwakoleza, na baada ya hapo, nilihakikisha wanakuwa sehemu ya kisasi changu.
Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi wao ni waume za watu, viongozi wa makanisa, walimu, wafanyabiashara, na sijawahi kuwaambia ukweli. Niliamini kama mimi niliumizwa bila huruma, basi nitafanya dunia yote ilie pamoja nami.
Lakini leo… leo nimechoka kuvaa tabasamu la kishetani huku nikiungua kwa ndani. Najua ninachokifanya si sahihi, lakini je, ni nani aliyenisaidia kipindi nilipokuwa nalia na unyanyasaji niliofanyiwa?
Siombi huruma yenu, maana ni mfu mtarajiwa. Naomba ushauri tu. Je, naweza kubadilika? Nawezaje kuiponya nafsi yangu yenye uchungu? Nawezaje kurudisha utu wangu uliopotelea kwenye visasi?
■ Kama una jambo linakutatiza, usikae nalo. Linaweza kuharibu hatima ya maisha yako. Tushirikishe, tusaidiane na tushauriane. Nitumie ujumbe WhatsApp: 0716 101690
View attachment 3426643
mwanangu nimekusikia,pole sana,aliyeharibu kila kitu ni dada yako.Mimi wewe ni sawa na mwanangu,nipo tayari kukusaidia mpaka uondokane na huu uchungu na urudi katika hali ya kawaidaMimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu.
Nilipoingia darasa la sita, familia iliniamini sana. Nilikuwa nakaa kwa dada yangu mkubwa, alinihudumia kama mama. Shemeji yangu, mume wa dada yangu, alikuwa kama baba kwangu. Lakini usiku mmoja uliharibu kila kitu, alinibaka. Nilijichukia sana.
Dada yangu hakutaka kusikia haya mambo, alisema namkosea heshima mume wake. Nilikuwa nalia kila usiku. Hakuna aliyeniona, hakuna aliyeniuliza, "Uko sawa?"
Miaka ikaenda, niliendelea kusoma, lakini nikawa siyo yule yule tena. Nilianza kuwa na hasira na wanaume, nikawa siamini mtu yeyote. Nilijifundisha kuficha chuki yangu ndani ya tabasamu, na nikaanza mpango wangu wa kulipa kisasi. Bila kujua, nilikuwa nimeambukizwa virusi vya UKIMWI na shemeji yangu.
Nilipofika chuoni, nikageuka kuwa mtu mwingine. Nikawa natafuta wanaume, hasa waliooa. Nilikuwa nawafanya wanione kama mwanamke wa ndoto zao. Nikawaambia maneno wanayotaka kusikia, nikawapa mapenzi ya kuwakoleza, na baada ya hapo, nilihakikisha wanakuwa sehemu ya kisasi changu.
Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi wao ni waume za watu, viongozi wa makanisa, walimu, wafanyabiashara, na sijawahi kuwaambia ukweli. Niliamini kama mimi niliumizwa bila huruma, basi nitafanya dunia yote ilie pamoja nami.
Lakini leo… leo nimechoka kuvaa tabasamu la kishetani huku nikiungua kwa ndani. Najua ninachokifanya si sahihi, lakini je, ni nani aliyenisaidia kipindi nilipokuwa nalia na unyanyasaji niliofanyiwa?
Siombi huruma yenu, maana ni mfu mtarajiwa. Naomba ushauri tu. Je, naweza kubadilika? Nawezaje kuiponya nafsi yangu yenye uchungu? Nawezaje kurudisha utu wangu uliopotelea kwenye visasi?
■ Kama una jambo linakutatiza, usikae nalo. Linaweza kuharibu hatima ya maisha yako. Tushirikishe, tusaidiane na tushauriane. Nitumie ujumbe WhatsApp: 0716 101690
View attachment 3426643
Ulijuaje?Km ile yako kiongozi ya kujitumia sms kupitia simu mbili tofauti…!! 😹😹
Hivi mnatuchukuliaje humu?
Mnatuona km matraco yenu eeehh 🤣
Akikutag nijibuTaja chuo ulichosoma na mwaka uliosoma
Akikujibu nitagTaja chuo ulichosoma na mwaka uliosoma
TUfanye Mungu akae kando kidogo kisha tuzungumzeMnaweza hata mchubuane na usimuambukize km Mungu hajaamua iwe hivyo
Kweli kabisaUjumbe mzuri bila kujali uhalisia wa hadithi hii.
Ugonjwa huu upo sana mtaani na hivi siku hizi watu wanavyotumia madawa ya kufubaza virusi basi ni tabu tupu kumjua mwenye umeme hasa kwa wale wazee wa kupima kwa macho.
Kwa nn Huku kataa au kupiga yoe kuita majirani au kukimbia ?🫴🏻Lakini usiku mmoja uliharibu kila kitu, alinibaka
kwa nn Huku mshtaki?🫴🏻Nilianza kuwa na hasira na wanaume, nikawa siamini mtu yeyote.
je hilo ndio suluhisho?🫴🏻nilihakikisha wanakuwa sehemu ya kisasi changu.
Inakupa faida gani?🫴🏻Niliamini kama mimi niliumizwa bila huruma, basi nitafanya dunia yote ilie pamoja nami.
Kwa nn Huwajui?🫴🏻Sijui ni wangapi nimewaambukiza
kama unajua unachofanya sio sahihi kwa nn unakifanya?😎Najua ninachokifanya si sahihi,