Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

😂😂😂 hupo vizuri kweny hadhi za kutunga sema ometupa funzo
 
Sawa
 
Pole sana kaonane na wataalamu wa kisaikolojia, pia uwe una hudhuria kwenye maombi
 
Ukishaanza kutumia dawa za kufubaza huwezi kumuambukiza mtu kirahisi na hata wewe mwenyewe usingeweza kutoboa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…