Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

Hii ni riwaya tu, ongeza bidii hujaiva bado
 
mwanangu nimekusikia,pole sana,aliyeharibu kila kitu ni dada yako.Mimi wewe ni sawa na mwanangu,nipo tayari kukusaidia mpaka uondokane na huu uchungu na urudi katika hali ya kawaida
 
Kama wewe sio mgeni wa mitandao story kama hizi haziwezi kukutisha.
 
Ujumbe mzuri bila kujali uhalisia wa hadithi hii.

Ugonjwa huu upo sana mtaani na hivi siku hizi watu wanavyotumia madawa ya kufubaza virusi basi ni tabu tupu kumjua mwenye umeme hasa kwa wale wazee wa kupima kwa macho.
Kweli kabisa
 
Lakini usiku mmoja uliharibu kila kitu, alinibaka
Kwa nn Huku kataa au kupiga yoe kuita majirani au kukimbia ?🫴🏻
Nilianza kuwa na hasira na wanaume, nikawa siamini mtu yeyote.
kwa nn Huku mshtaki?🫴🏻
nilihakikisha wanakuwa sehemu ya kisasi changu.
je hilo ndio suluhisho?🫴🏻
Niliamini kama mimi niliumizwa bila huruma, basi nitafanya dunia yote ilie pamoja nami.
Inakupa faida gani?🫴🏻
Sijui ni wangapi nimewaambukiza
Kwa nn Huwajui?🫴🏻
Najua ninachokifanya si sahihi,
kama unajua unachofanya sio sahihi kwa nn unakifanya?😎
 
Unajuaje kama ulikuwa unawaambukiza?...labda ndo walikuwa wanakuongezea vijidudu tofautitofauti
 
Hadithi kutoka Facebook. Ujinga mtupu 🚮🚮🚮
 
Huu ni mtego,kuna mtu anawindwa ajulikane
So beware of trap"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…