Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    mtu
kuna mfanyakazo mwenzangu alinunua hadi laptop 2 mbili baada ya kuona moja haitoshi kwa sababu ya huo upuuzi wa Forex, na imani yake ni siku moja kuwa tajiri mkubwa kutokana na shughuli za forex.
Sasa hivi watu wa usalama wameingia huko ,sasa kila akaunti ikiungua utasikia leo sina mood ya kushinda nyumbani natamani niungane na walio zamu kufanya doria .
Hapo ujue akaunti imeungua wanawaza wapate wapi hela ya replacement
 
Sasa hivi watu wa usalama wameingia huko ,sasa kila akaunti ikiungua utasikia leo sina mood ya kushinda nyumbani natamani niungane na walio zamu kufanya doria .
Hapo ujue akaunti imeungua wanawaza wapate wapi hela ya replacement
mkuu nimeshindwa kupata connection ya maelezo na kuingia kwa watu wa usalama
 
Hongera mkuu
 
kwanini haujatushirikisha lakini?
haujatutendea haki sisi tunaofuatilia
matumizi ya hizo pesa.

utani pembeni ulilonunua kiwanja ni eneo potential, utakuja kujipongeza baadae.
Ahsante boss
 
Bwashee mtajie na benki genuine asije kuchukua mkopo kwenye vibenki uchwara watamsaka mpaka akimbilie south africa alafu wazuru wamuue bure
Kuna nyumba ya urithi , niliachiwa nikaona wenye nguvu wanataka kupindua mchezo nikavuta nayo mkopo Bank nalipa mdogo mdogo ,nikiona wanakaza nawachia manyoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…