Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Ardhi sio ya kujutia kununua. Kibaha Kwa Mfipa sio mbali sana kutokea Dar. Ukitangaza kuuza vinauzika, ukiacha Kwa ajili ya lengo lako pia hutojutia.Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Mgambo na walinzi wa kampuni binafsi kakavyombo vya usalama unamaanisha nini kaka
Wewe mrembo hi😹😹😹 Mjinga weeh!!
Tuliza akili, hujapigwa. Tafiti vizuri bei za viwanja Kibaha Kwa sasa, ndio utagundua.Nimehairisha kuuza ila naona moyo unauma kwasababu nahis nimepigwa bei
Kwa Dar-es-salaam bei ya soko ni Sqm 1 ni Tsh 12,000/= MakaziNilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Mambo vipi MTP?Wewe mrembo hi
Sema Unataka nini?😹😹😹 Bado wewe unanipa nini?
Niko gud ,sana miss you ,nikasema niseme hi mwananguMambo vipi MTP?
SawaArdhi sio ya kujutia kununua. Kibaha Kwa Mfipa sio mbali sana kutokea Dar. Ukitangaza kuuza vinauzika, ukiacha Kwa ajili ya lengo lako pia hutojutia.
SawaTuliza akili, hujapigwa. Tafiti vizuri bei za viwanja Kibaha Kwa sasa, ndio utagundua.
Hiyo heka 1 inaweza kutoa viwanja vya 20 kwa 20 vingapiZipo heka 2 hapo hapo Garagaza
..zipo sokoni kila heka 1 bei ni 25 milioni ...
Ukihitaji zote mbili ..50 milioni.
Location ni Garagaza jirani na kwa Shamte...
Mawasiliano zaidi ..Pm
Mkuu nichek pm kama upo serious unataka hilo eneonatafuta eneo la kuweza kujenga shule ya sekondari ya bweni maeneo ya Kongowe Kibaha
eneo lisiwe umbali unaozidi kilomita 3 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dsm
nina kianzio cha Bilion 2, nipo tayari kuwalipa waliokwisha jenga hapo katikati.
Braza vumilia kwanza baada ya miaka mitatu mlndio utaanza kuona thamaniHivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Aisee kumbe ni mbali hivyo?Kutoka morogoro road hadi site ni Km 6 au 5 boda nauli 2000 nikama dakika 10
Na barabara imefika moja kwa moja hadi maeneo husika