Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Energy kweli nakunywa lakini siyo sana
  • Punguza msongo wa mawazo
  • Badilisha lifestyle ya ulaji, tumia mbogamboga zaidi,matunda kwa sana jitahidi kwa siku angalau upate hata embe
  • Kunywa maji mengi, punguza kunywa kahawa,energy,soda ikiwezekana acha kabisa
  • Piga tizi, mazoezi hata ya nusu saa kwa siku yanatosha, jogging,push ups,planks,squats n.k
  • kama tatizo likiendelea muone daktari/mwanasaikojia
 
Asante!
 
Mlete TBS tukague viwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…