Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
-
- #21
defense ina mistake sana chief , gemu tungekula hata 7 hiiInaumiza sana wachezaji wametukosea sana wengine tumejificha mpaka sasa na keaho sijui huko maofisin titakaa kwa amani maaana hata simu sipokei
daah wametu dhalilishaKwanza mpira haramu
Kuna msemaji wa hizi timu 2 ambaye haongei? Au kwavile umeshinda ndo umeona umpopoe?Tatizo Ahmed ally anaongea sana akitupaisha viwango ambacho sio vyetu
Team is full of propaganda [emoji23]
ban gani chief , yaani hawa wakulima wa nyanya wametuchapa namna hiiMkuu mzee wa ban nakusalimia
acha wavimbe chiefKuna msemaji wa hizi timu 2 ambaye haongei? Au kwavile umeshinda ndo umeona umpopoe?
Kwakweli, ni muda wao kutamba mjini.acha wavimbe chief
😆😆😆Na bado hamjasema. Umechukua na neno la mropokaji wenu mbumbumbu kweli hamna dogo
club itulize saikoloji za wachezaji, pia dirisha dgo iingie sokoni
kapome kachoka aiseeh
thank u bossPole sana mkuu
Yaweza kuwa ni offside ila mlikuwa hamuonyeshi matumaini ya kurudisha goli zile 2 ndo maana refa kapotezea tuna lile goli lanne was clear offside, lkn poa
sahihi chief , hichi kichapo kitakatifuUnatoa Chama unaingiza onana kwanini usifungwe,
Beki inakatika kuliko yondo sister kwann usifungwe,
Manula hajakava kuwasiliano na mabeki mechii hakutakiwa kuja kujaribiwa!
Over confidence ya hovyo ndiyo imewagharimu kushindwa kumuheshimu mpnzani!
Pia wachezaji hawachezi kama team, utaona kibu muda wote anashuti tu mahali pa kutoa basi yote hayo ni kuichosha team!
Referee wa mchongo kaingia na maelekezo, ili kubalance ligi iwe na mvuto yanga alitakiwa kushinda hii gemu, kadi za njano ni moja ya silaha ya ARAJIGA kufanikisha hilo,
Kwa msioelewa ARAJIGA alipangwa kwenye hii mechi kwa maelekezo maalum!
Simba na yanga ni stabilizer team kwenye taiga hill, Isingekuwa rahisi kwa simba Leo kupata ushindi!
ROBERTINO HAKUWAHESHIMU WAPINZANI NDIYO MAANA KACHAPWA
yaah aliona mentality ya simba kulowa kabisaYaweza kuwa ni offside ila mlikuwa hamuonyeshi matumaini ya kurudisha goli zile 2 ndo maana refa kapotezea tu