Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

Bibi Gekul baada ya kumalizana na Polisi amesambaza picha ya victim akiwa kapiga magoti akiwa suruali imeshushwa.

Swali lakujiuliza, wanasiasa na dola wananufaika nini na ukatili huu? Hii familia ina nguvu gani kunyanyasa watoto wa maskini?

Ukatili huu angefanyiwa mtoto wa Gekuli watuhumiwa wangetendewa kama polisi wanavyofanya? Means Kiongoz ana haki ya kutuhumu , kuhoji na kuchukua hatua?

Taasisi za haki za binadamu Tanzania zipo wapi kulinda haki ya victim huyu? Huyu kijana akijinyonga kwa msongo wa mawazo serikali itatoka kutoa pole?

Let us assume tungefanyiwa sisi ingekuwaje?
 
Nchi sasa ni kwa matukio tu, nilijua mambo ya bandari yatakuja kwisha yenyewe! Sasa hili la Gekul ndiyo limepamba moto wakati tunajua lipo polisi. Sasa hivi mjadala nchi nzima ni Gekul tu!
 
Back
Top Bottom