appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,939
- 3,259
Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa waandamiz wa jesh la polis walitoa waraka au makatazo makali yaliyoonesha dhamira ya kile kinachoenda kutokea
Machawa na makada hawakua nyuma wapo waliodiriki kusema watakaopotea wasitafutwe wao ndio watakua wamewapoteza
Wengine walisema watawavunja miguu waandamaji na nk
Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio
Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida