Rematch.. hii ndio funga kazi lazima kuna mtu ataikimbia ikulu maana aliingia kwa kutumia kura za kufoji...Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio
Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
Tanzania itapona kwa kuiua CCM. Taifa litapona kwa kuifuta ccma na kutaifisha mali zake. Nje ya hapo tutakuwa tunazungumzia mlemle.Kura hazijaanza kuibiwa kwa samia ni michezo ya kitambo, kwa taarifa yako hata samia akitolewa leo ccm itaendelea kutawala na business as usual zitaendelea.
Hizi fikra na mawazo ya kijinga na waninga ndiyo hatutaki kuyasikia, mbona unarudisha mambo nyuma! Watu wema wanajaribu kubadilisha hali yet a fool like you usiyethubutu kufanya chochote ni kukatisha watu tamaa! Kama huwezi kuwatia moyo watu kwenye mapambano then shut that big mouth of yours.Kura hazijaanza kuibiwa kwa samia ni michezo ya kitambo, kwa taarifa yako hata samia akitolewa leo ccm itaendelea kutawala na business as usual zitaendelea.
Watu kama nyinyi mnatakiwa mtaabike zaidi ili akili zenu ziwakae sawa. Amani inaenda sambamba na haki. Tumechoka kuhubiriwa amani huku haki zetu za msingi zikiendelea kukandamizwa na wahini wachache.Wahenga wanasema "Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake Kwa mikono yake yeye mwenyewe"
Nami nasema,
Watanzania wenyewe ndio watakaoivunja au kuidumisha Amani ya nchi Yao wao wenyewe.
Kwa Yale yaliyotokea sidhani kama mamlaka zitaawaamini kama mnaandamana Kwa Amani,Bora ingepita kwanza hali ikatulia ndio mkaja na Madai ya Amani,takribani siku 30 tu halafu yatokee kama Yale yaliyotokea hawatakubali.
Kuna watu wanadhamira ya kudai Madai Yao....ila nyuma ya pazia kuna watu Wana mipango myeusi wameipanga waipenyeze siku hiyo.
Kuna video inaonyesha mtu akidaiwa ni kiongozi wa dini Fulani akitoa maelekezo watu wachome vituo vya mafuta,vituo vya mwendo Kasi na vitu vingine Ile siku ya terehe 25 October kama sijakosea ilipostiwa TikTok tujiulize Hayo ni maandamano ya kudai haki au ni Nini?
Kwa Mimi na familia yangu tulivyotaabika zile siku 5,namuomba Mwenyezingu aepushe mbali haya mambo yasitokee Tena maana tumeteska vya kutosha,wengine kula kwetu mpaka tutoke Sasa njaa tu inaweza kuwa adhabu ni Bora yasitokee Tena biidhnillah taala.
Mamlaka hazijawahi kuuamini umma, hata kabla ya O29. Maandamano kupigwa marufuku kama si ya kuisifia serekali na chama chake ni jambo lililozoeleka.Wahenga wanasema "Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake Kwa mikono yake yeye mwenyewe"
Nami nasema,
Watanzania wenyewe ndio watakaoivunja au kuidumisha Amani ya nchi Yao wao wenyewe.
Kwa Yale yaliyotokea sidhani kama mamlaka zitaawaamini kama mnaandamana Kwa Amani,Bora ingepita kwanza hali ikatulia ndio mkaja na Madai ya Amani,takribani siku 30 tu halafu yatokee kama Yale yaliyotokea hawatakubali.
Kuna watu wanadhamira ya kudai Madai Yao....ila nyuma ya pazia kuna watu Wana mipango myeusi wameipanga waipenyeze siku hiyo.
Kuna video inaonyesha mtu akidaiwa ni kiongozi wa dini Fulani akitoa maelekezo watu wachome vituo vya mafuta,vituo vya mwendo Kasi na vitu vingine Ile siku ya terehe 25 October kama sijakosea ilipostiwa TikTok tujiulize Hayo ni maandamano ya kudai haki au ni Nini?
Kwa Mimi na familia yangu tulivyotaabika zile siku 5,namuomba Mwenyezingu aepushe mbali haya mambo yasitokee Tena maana tumeteska vya kutosha,wengine kula kwetu mpaka tutoke Sasa njaa tu inaweza kuwa adhabu ni Bora yasitokee Tena biidhnillah taala.
Wamegundua nguvu ya umma haizuiwi kwa vitisho. Hawawezi kuliziba jua kwa ungo. Wameona ni ujinga kutegemea kivuli cha fimbo kujikinga na miale ya jua. Watajua hawajui manina zao. Gari la umma lineweka, hakuna wa kulizuia.Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa waandamiz wa jesh la polis walitoa waraka au makatazo makali yaliyoonesha dhamira ya kile kinachoenda kutokea
Machawa na makada hawakua nyuma wapo waliodiriki kusema watakaopotea wasitafutwe wao ndio watakua wamewapoteza
Wengine walisema watawavunja miguu waandamaji na nk
Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio
Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
Mfano mzuri ni tamko la zuio la watu kuonekana barabarani baada ya saa 12 jioni alilolitoa Wambura siku ya 29/10/2025. Ile kauli iliashiria wazi mpango wa kuua watu makusudi na matokeo yake tuliyashuhudia..... Wambura anaponyokaje trip ya study tour kule uholanzi? Hata Muliro pia ni candidate wa uhalifu wa kibinadamu.Wanagwaya maana baadhi ya matamshi yao ya Kifedhuli yanatatumika the Hague...KIBRI KIBRI kiliwajaa sana
Mnapambana kumtoa samia wakati tatizo sio samia ni mfumoHizi fikra na mawazo ya kijinga na waninga ndiyo hatutaki kuyasikia, mbona unarudisha mambo nyuma! Watu wema wanajaribu kubadilisha hali yet a fool like you usiyethubutu kufanya chochote ni kukatisha watu tamaa! Kama huwezi kuwatia moyo watu kwenye mapambano then shut that big mouth of yours.
Samia amalizie miaka yake mitano mabadiliko yaanze kufanyika sasa kwa mazungumzo na sio vurugu za maandamano.Kama ccm iko madarakani kwa wizi wa kura hizo porojo za vita vya kiuchumi mnazotolea wapi? Kama mlitarajia mtaendelea na wizi wa kura kisha mkae madarakani, basi mjue zama haziko upande wenu. Na ccm itakuwa sio chama cha kwanza kutoka madarakani kwa kuchokwa na umma.
Na nikuhakikishie ccm ikitoka madarakani itakufa mazima. Huyo aliyewadanganya kuwa mnaweza kuua kisha mkabaki madarakani, kamwambie waoga wameamka.
Hilo haliwezekani tena, mabadiliko yanaletwa na mwenye uhalali wa umma na sio muuaji. Alipewa nafasi hiyo baada ya kifo cha Magufuli, na akaahidi kuleta mabadiliko, lakini hakufanya hivyo kwa kuburi cha madaraka. Kwa sasa ameshaipoteza hiyo kete kwa maauaji hayaSamia amalizie miaka yake mitano mabadiliko yaanze kufanyika sasa kwa mazungumzo na sio vurugu za maandamano.
For realKwa hali ilivyofikia kutoka ni lazima vinginevyo utekaji na unyanyaji utazidi mara dufu. Ni aidha kupambana au kuufyata watumalize.
Ana malizaje miaka Mitano wakati Amejimilikisha madaraka Kwa kubaka Uchaguzi + mauaji Kwa watu !?Samia amalizie miaka yake mitano mabadiliko yaanze kufanyika sasa kwa mazungumzo na sio vurugu za maandamano.
Samia hajabaka uchaguzi, kachaguliwa kabisa kwa kishindo, hayo mauwaji katika maandamano ni sehemu tu ya madhara ya maandamano ya vurugu na sehemu nyingine pia hutokea nchi mbalimbaliAna malizaje miaka Mitano wakati Amejimilikisha madaraka Kwa kubaka Uchaguzi + mauaji Kwa watu !?
Amna usiogope mkuu wewe ingia road hao wanawatisha tuMabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa waandamiz wa jesh la polis walitoa waraka au makatazo makali yaliyoonesha dhamira ya kile kinachoenda kutokea
Machawa na makada hawakua nyuma wapo waliodiriki kusema watakaopotea wasitafutwe wao ndio watakua wamewapoteza
Wengine walisema watawavunja miguu waandamaji na nk
Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio
Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
Umeongea vizuri sana ila wakati wapinzani wanaomba sheria mpya za uchaguzi na ccm kugoma mbona hamkuongea chochote ? si mlijua watanzania ni wale wale wa siku zote !! ccm walishaambiwa sana kuhusu haki za watu ila Kwa kiburi na jeuri waliendelea kukanyaga haki za watu.Wewe kijana Mimi sio mtu wa chama chochote unaniambiaje mambo ya kura wala kura sio kitu muhimu katika maisha yangu....nachokiangalia ni mbele Kwanza siku hiyo mtakapoingia barabarani hali itakuwaje?
Pili haya mambo ya kupanga serikali sijui ya mpito italeta mushkeli Kwa uwelewa wangu mdogo.
Tatu mkifanikisha Hilo maana yake nchi kiutawala itakuwa haiko strong Tena kama ilivyokuwa vitaibuka vikundi kila kimoja kikitaka kutawala mwisho wake Ni Nini?
Toka zamani sijawahi kuwa mwanachana wowote na nilipenda kufuatilia siasa zama hizo enzi za Kina Lipumba,Mbowe,Zitto,Maalim seif na wengineo nilipenda hao nao wawe wakuu....ila njia inayotaka kutumiwa si salama Kwa athari ya Yale Yale yaliyotokea naona mabaya zaidi kuliko mema lakini mihemko na chuki inazidi kukuwa fikiria wewe usipokuwa upande flani wewe ni adui kweli ndio haki na demokrasia hiyo?
Leo hii wasanii wote hawatakiwa kisa wako upande Fulani,wakati kila mmoja ana uhuru wa kufuata kila anachokipenda,vijana mlipaswa kuiangalia njia Bora zaidi kudai haki na usawa kuliko hii mliyoichagua pia kuacha chuki za kupandikizwa na wanasiasa Fulani,Mimi sio mwana ccm na sijawahi kutamani kuwa mwanaccm lakini napenda mambo yawekwe mezani watu waje na Hoja zao zifanyiwe kazi.
Leo hii uvuruge Amani Katika nchi yako kesho utamlaumu nani?
Mkuu kwanini raisi amejificha haonekani akiwa katika majukumu yake ya kiutawala?We unafikiri ni kwanini?!!!!! Simple tu, rejea matamko ya kwanza, chukua hatua. Yanini kuhangaika kuongeaongea tena wakati wameshaongea?!!!! Unafikiri mitawapata vijana kipumbavu tena kama safari ile?!!! Gen z wakenya wenyewe wamesanda, walifiri Huku ni kama kwa Ruto wanayeweza kumshika Hadi makalio.
Una uhakika?!!!!! Sasa hivi anaongoza kisayansi sana, tena kwa Sasa ndo mmemrahisishia kweli kazi.....hamjui tu. Ninakuambia hakuna serikali itakayopiga maendeleo makubwa kuizidi hii.Mkuu kwanini raisi amejificha haonekani akiwa katika majukumu yake ya kiutawala?