Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

Nakwambia hivi mo29 wajeshi ndo walikuwa wanaenda kugonga kwenye majumba ns kuwaita watoke waje waandamane, yote hayo yaliwezekana sababu kulikuwa na mpasuko ndani ya jeshi na kwenye chama pia, ila sasa mambo tushawekana poa hakuna mpasuko tena hiyo 9d barabara zitakuwa nyeupe.
Dah mzee ogopa nguvu ya uma inatisha ndio maana viongoz wameogopa maana ndan ya masaa matatu tu wamechoma vituo ving vya polis kura serikal shel magar na nk kaz ya kuchoma iliisha mapema sana watu wakawa wako barabaran wanaimba imba hawajui wafanye nini baada ya kutekeleza maadhimio ya kuchoma kila kitu kuna watu wakaanza azimio jipya la kuchoma ndege na kuvamia gereza la ukonga kumtoa lisu wanajesh waliokoa jahaz ni wa airwing wakawapooza raia raia wakatulia mzee ile nguvu haishindwi kitu
 
Aliyetoa amri ya mauwaji ya Oct29th amejificha wapi?
 
Attachments

  • JENERALI ULIMWENGU AKAZIA SUALA LA KATIBA MPYA.mp4
    25.4 MB
  • JENERALI ULIMWENGU AKAZIA SUALA LA KATIBA MPYA.mp4
    25.4 MB
Nakwambia hivi mo29 wajeshi ndo walikuwa wanaenda kugonga kwenye majumba ns kuwaita watoke waje waandamane, yote hayo yaliwezekana sababu kulikuwa na mpasuko ndani ya jeshi na kwenye chama pia, ila sasa mambo tushawekana poa hakuna mpasuko tena hiyo 9d barabara zitakuwa nyeupe.
Wadanganye ambao hawana ndugu huko ndani!
Eti mmewekana sawa , Hahaaa acha nipige kimya uzuri sshv hakuna ht siri
 
Nakwambia hivi mo29 wajeshi ndo walikuwa wanaenda kugonga kwenye majumba ns kuwaita watoke waje waandamane, yote hayo yaliwezekana sababu kulikuwa na mpasuko ndani ya jeshi na kwenye chama pia, ila sasa mambo tushawekana poa hakuna mpasuko tena hiyo 9d barabara zitakuwa nyeupe.
Kwamba huo mpasuka ulikuwa ni kuhakikisha mama na ccm yake wamatangazwa washindi kwa kura za uongo, na sasa wameshaungana maana lengo la waliotaka mama atangazwe mshindi imewezekana? Yaani jeshi limewekwa sawa baada ya kupatikana rais kwa wizi wa kura.
 
Kura hazijaanza kuibiwa kwa samia ni michezo ya kitambo, kwa taarifa yako hata samia akitolewa leo ccm itaendelea kutawala na business as usual zitaendelea.
 
Mkuu Ndio maana sisi wengine tunasisitiza sana swala la haki, amani na usawa.

Tunajua na kuamini kuwa amani ikitoweka hakuna anayebaki na raha. Sote tunakimbia tunajificha, hakuna tajiri wala maskini anatamba.

Hakuna mwenye cheo wala mnyonge, mo29 iwe fundisho kwetu, kila mtu alikula kimya kwenye machimbo kama panya buku, tulikuwa hatuchomozi hata kichwa.

Ndugu zangu watanzania tulinde amani kwa nguvu zote, ikitoweka kila mtu anaathirika
je haki ikiwa hakuna nini kinatokea?
 
Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi

kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri

Maafisa waandamiz wa jesh la polis walitoa waraka au makatazo makali yaliyoonesha dhamira ya kile kinachoenda kutokea

Machawa na makada hawakua nyuma wapo waliodiriki kusema watakaopotea wasitafutwe wao ndio watakua wamewapoteza

Wengine walisema watawavunja miguu waandamaji na nk

Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio

Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
Kabla ya 29/10 ni kweli maRPC na RCs wao, maOCD na DCs wao, Mawaziri na Chura Kiziwi mwenyewe walikuwa wanatamba kwa matamko yaliyojaa kejeli, dharau, kiburi na ubabe huku wakiwa wamekunja ndita...

Cha ajabu siku ya 29/10 walijificha na wengine kukimbia nje ya nchi kwa muda mpaka walipoona kumepoa ndo wakatoa pua zao hadharani

Nchi ilibaki mikononi mwa majambazi yenye silaha yaliyovaa jina la "Polisi" yakiwinda na kuua maelfu ya ndugu zetu, dada zetu, kaka zetu, mama zetu, baba zetu na watoto wenu. Damu ilimwagika kwelikweli!

Afande Jumanne Muliro na RC wake Albert Chalamila wa DSM walikuwa wadogo kama kidonge cha piriton. GenZ waliwatembelea sana lakini walijificha uvunguni

Leo jeuri yote wameificha matakoni mwao na wakijaribu kupanua hayo mabakuri yao, hakika this time kuanzia #D9 hawatapona, GenZ wamejipanga kuuwasaka na kuwakamata popote watakapokuwa wamejificha unless wakimbilie kwa Mu7..!
 
Wahenga wanasema "Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake Kwa mikono yake yeye mwenyewe"

Nami nasema,
Watanzania wenyewe ndio watakaoivunja au kuidumisha Amani ya nchi Yao wao wenyewe.

Kwa Yale yaliyotokea sidhani kama mamlaka zitaawaamini kama mnaandamana Kwa Amani,Bora ingepita kwanza hali ikatulia ndio mkaja na Madai ya Amani,takribani siku 30 tu halafu yatokee kama Yale yaliyotokea hawatakubali.

Kuna watu wanadhamira ya kudai Madai Yao....ila nyuma ya pazia kuna watu Wana mipango myeusi wameipanga waipenyeze siku hiyo.

Kuna video inaonyesha mtu akidaiwa ni kiongozi wa dini Fulani akitoa maelekezo watu wachome vituo vya mafuta,vituo vya mwendo Kasi na vitu vingine Ile siku ya terehe 25 October kama sijakosea ilipostiwa TikTok tujiulize Hayo ni maandamano ya kudai haki au ni Nini?

Kwa Mimi na familia yangu tulivyotaabika zile siku 5,namuomba Mwenyezingu aepushe mbali haya mambo yasitokee Tena maana tumeteska vya kutosha,wengine kula kwetu mpaka tutoke Sasa njaa tu inaweza kuwa adhabu ni Bora yasitokee Tena biidhnillah taala.
 
Kura hazijaanza kuibiwa kwa samia ni michezo ya kitambo, kwa taarifa yako hata samia akitolewa leo ccm itaendelea kutawala na business as usual zitaendelea.
Kama ccm iko madarakani kwa wizi wa kura hizo porojo za vita vya kiuchumi mnazotolea wapi? Kama mlitarajia mtaendelea na wizi wa kura kisha mkae madarakani, basi mjue zama haziko upande wenu. Na ccm itakuwa sio chama cha kwanza kutoka madarakani kwa kuchokwa na umma.

Na nikuhakikishie ccm ikitoka madarakani itakufa mazima. Huyo aliyewadanganya kuwa mnaweza kuua kisha mkabaki madarakani, kamwambie waoga wameamka.
 
Wahenga wanasema "Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake Kwa mikono yake yeye mwenyewe"

Nami nasema,
Watanzania wenyewe ndio watakaoivunja au kuidumisha Amani ya nchi Yao wao wenyewe.

Kwa Yale yaliyotokea sidhani kama mamlaka zitaawaamini kama mnaandamana Kwa Amani,Bora ingepita kwanza hali ikatulia ndio mkaja na Madai ya Amani,takribani siku 30 tu halafu yatokee kama Yale yaliyotokea hawatakubali.

Kuna watu wanadhamira ya kudai Madai Yao....ila nyuma ya pazia kuna watu Wana mipango myeusi wameipanga waipenyeze siku hiyo.

Kuna video inaonyesha mtu akidaiwa ni kiongozi wa dini Fulani akitoa maelekezo watu wachome vituo vya mafuta,vituo vya mwendo Kasi na vitu vingine Ile siku ya terehe 25 October kama sijakosea ilipostiwa TikTok tujiulize Hayo ni maandamano ya kudai haki au ni Nini?

Kwa Mimi na familia yangu tulivyotaabika zile siku 5,namuomba Mwenyezingu aepushe mbali haya mambo yasitokee Tena maana tumeteska vya kutosha,wengine kula kwetu mpaka tutoke Sasa njaa tu inaweza kuwa adhabu ni Bora yasitokee Tena biidhnillah taala.
Ww na familia yako mjitokeze mseme ni wapi kura 31m zimetokea. Kama mtafumbia macho ukweli huo mjiandae na mabaya zaidi ya hayo. Hayo ya kutuambia vituo vya mafuta, sijui mwendokasi, mngethamini hivyo mngewambia wanaochezea box la kura, na kuteka watu kuwa zama zimebadilika.
 
Wewe kijana Mimi sio mtu wa chama chochote unaniambiaje mambo ya kura wala kura sio kitu muhimu katika maisha yangu....nachokiangalia ni mbele Kwanza siku hiyo mtakapoingia barabarani hali itakuwaje?

Pili haya mambo ya kupanga serikali sijui ya mpito italeta mushkeli Kwa uwelewa wangu mdogo.

Tatu mkifanikisha Hilo maana yake nchi kiutawala itakuwa haiko strong Tena kama ilivyokuwa vitaibuka vikundi kila kimoja kikitaka kutawala mwisho wake Ni Nini?

Toka zamani sijawahi kuwa mwanachana wowote na nilipenda kufuatilia siasa zama hizo enzi za Kina Lipumba,Mbowe,Zitto,Maalim seif na wengineo nilipenda hao nao wawe wakuu....ila njia inayotaka kutumiwa si salama Kwa athari ya Yale Yale yaliyotokea naona mabaya zaidi kuliko mema lakini mihemko na chuki inazidi kukuwa fikiria wewe usipokuwa upande flani wewe ni adui kweli ndio haki na demokrasia hiyo?

Leo hii wasanii wote hawatakiwa kisa wako upande Fulani,wakati kila mmoja ana uhuru wa kufuata kila anachokipenda,vijana mlipaswa kuiangalia njia Bora zaidi kudai haki na usawa kuliko hii mliyoichagua pia kuacha chuki za kupandikizwa na wanasiasa Fulani,Mimi sio mwana ccm na sijawahi kutamani kuwa mwanaccm lakini napenda mambo yawekwe mezani watu waje na Hoja zao zifanyiwe kazi.

Leo hii uvuruge Amani Katika nchi yako kesho utamlaumu nani?
 
Wewe kijana Mimi sio mtu wa chama chochote unaniambiaje mambo ya kura wala kura sio kitu muhimu katika maisha yangu....nachokiangalia ni mbele Kwanza siku hiyo mtakapoingia barabarani hali itakuwaje?

Pili haya mambo ya kupanga serikali sijui ya mpito italeta mushkeli Kwa uwelewa wangu mdogo.

Tatu mkifanikisha Hilo maana yake nchi kiutawala itakuwa haiko strong Tena kama ilivyokuwa vitaibuka vikundi kila kimoja kikitaka kutawala mwisho wake Ni Nini?

Toka zamani sijawahi kuwa mwanachana wowote na nilipenda kufuatilia siasa zama hizo enzi za Kina Lipumba,Mbowe,Zitto,Maalim seif na wengineo nilipenda hao nao wawe wakuu....ila njia inayotaka kutumiwa si salama Kwa athari ya Yale Yale yaliyotokea naona mabaya zaidi kuliko mema lakini mihemko na chuki inazidi kukuwa fikiria wewe usipokuwa upande flani wewe ni adui kweli ndio haki na demokrasia hiyo?

Leo hii wasanii wote hawadai kisa wako upande Fulani,wakati kila mmoja ana uhuru wa kufuata kila anachokipenda,vijana mlipaswa kuiangalia njia Bora zaidi kudai haki na usawa kuliko hii mliyoichagua.
Ww mzee kura zinapigwa na yoyote na sio mambo ya chama. Iwapo utaratibu wa kunajisi box la kura umegeuzwa ndio utamaduni, watu wanajiweka madarakani kwa kuteka watu, unategemea tukae kimya hadi iweje?

Hakuna njia ya amani ambayo haijawahi kutumika huko nyuma, iweje uone njia tulizoamua kutumia sasa ni mbaya? Wakati tunatawaliwa kibabe bila ridhaa yetu ulikuwa kimya na kuona hiyo ndio iwe njia njia yetu, sasa kaa utulie maana ccm imeamua kukaa madarakini kwa shuruti, itegemee ubaya zaidi ya huu, hadi wote mtoke muongee ukweli.
 
Kwa hali ilivyofikia kutoka ni lazima vinginevyo utekaji na unyanyaji utazidi mara dufu. Ni aidha kupambana au kuufyata watumalize.
Kuufyata tena!
Hakuna mwenye haki miliki na maisha ya wengine, kama mapatano yameshindikana, tupambane kwa njia zozote hadi kieleweke, hakuna kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom