Mkuu Ndio maana sisi wengine tunasisitiza sana swala la haki, amani na usawa.Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa waandamiz wa jesh la polis walitoa waraka au makatazo makali yaliyoonesha dhamira ya kile kinachoenda kutokea
Machawa na makada hawakua nyuma wapo waliodiriki kusema watakaopotea wasitafutwe wao ndio watakua wamewapoteza
Wengine walisema watawavunja miguu waandamaji na nk
Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio
Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
Wanaogopa tusiwasalimie D9Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa waandamiz wa jesh la polis walitoa waraka au makatazo makali yaliyoonesha dhamira ya kile kinachoenda kutokea
Machawa na makada hawakua nyuma wapo waliodiriki kusema watakaopotea wasitafutwe wao ndio watakua wamewapoteza
Wengine walisema watawavunja miguu waandamaji na nk
Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio
Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
That’s right, we EITHER liberate our beloved country OR die for it!Tutakufa lakini bora kufa kupigania hatma ya taifa langu kuliko kufa kwa malaria kitandani. Mwaka wa saba huu nimemaliza chuo na kwenda jkt ila ajira hakuna zaidi ya kumwona kilaza Wanu hafidh na mama yake wakipewa Keki ya taifa na kuua ndugu zetu. D9 nitakuwepo mstari wa mbele. Kifo ni kifo tu
Mimi ni amiri jeshi mkuu. Hakutakuwa na nywinywi.Kwa sasa wale wote waliotoa matamko yao ya vitisho, wamegeuka na kuwa wabembelezaji! Na wengine hata hawajulikani walipo kutokana na kimya chao kingi.
Gen Z siyo poa hata kidogo.
Duh😭😭😭Tutakufa lakini bora kufa kupigania hatma ya taifa langu kuliko kufa kwa malaria kitandani. Mwaka wa saba huu nimemaliza chuo na kwenda jkt ila ajira hakuna zaidi ya kumwona kilaza Wanu hafidh na mama yake wakipewa Keki ya taifa na kuua ndugu zetu. D9 nitakuwepo mstari wa mbele. Kifo ni kifo tu
Uko sahihi kabisa dakitari.Ndugu zangu watanzania tulinde amani kwa nguvu zote, ikitoweka kila mtu anaathirika