Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

Amani bila HAKI ulisikia wapi?
 
Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio😀😀😀
 
We unafikiri ni kwanini?!!!!! Simple tu, rejea matamko ya kwanza, chukua hatua. Yanini kuhangaika kuongeaongea tena wakati wameshaongea?!!!! Unafikiri mitawapata vijana kipumbavu tena kama safari ile?!!! Gen z wakenya wenyewe wamesanda, walifiri Huku ni kama kwa Ruto wanayeweza kumshika Hadi makalio.
 
Tulinde Amani au tutendeane HAKI?.Kwa maoni yako unadhani inawezekana Amani ikawepo mahali palipojaa DHULMA?
 
Kwasasa wamewaachia kazi hiyo mashekhe
 
Gen-Z Mungu wetu wa mbinguni awabariki sana! Wamejua kutuheshimisha!
 
Umejiuliza chanzo cha yote hayo ni nini?
 
Umesahau kuwashauri "Gen-Z" hiyo njia Bora ya kudai HAKI zao ambayo wewe unaifikiria ambayo wao hawajaifikiria wala kuitumia.
 
Kwa Mimi na familia yangu tulivyotaabika zile siku 5,namuomba Mwenyezingu aepushe mbali haya mambo yasitokee Tena maana tumeteska vya kutosha,wengine kula kwetu mpaka tutoke Sasa njaa tu inaweza kuwa adhabu ni Bora yasitokee Tena
Endelea kuomba ili hili genge haram liǰiondoe madrakani.
Ikiwa hivyo hakika amani itarejea.
Tofauti na hivyo, GenZ watafanya tena na mateso utakayopata itakuwa ni ushiriki wenu katika hii vita ya kutafuta HAKH ambyo ndiye mama wa AMANI.

Wasipoondoka kwa hiari ɓasi wataondoka kwa shari
 
Amani unailinda kwa Haki bila haki hakuna Amani
 
HIi yote ni kwa sababu kuna liajuza limoja likilaza linafosi kutawala watu wasiolitaka.
 
Tutolee ujinga wako hapa.
 
Ni kweli kabisa una uelewa mdogo. Kaa kimya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…