Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

Ila sasa ni tofaut sijui nini kimetokea sion mazoez ya pamoja sion matamshi mazito sio kauli za machawa kama kuna kundi linataka kurud nyuma linachofanya ni kusikilizia tu vishindo kabla ya mbio

Hii hali imenitafakarisha sanaa sio kawaida
Rematch.. hii ndio funga kazi lazima kuna mtu ataikimbia ikulu maana aliingia kwa kutumia kura za kufoji...

D9
 
Kura hazijaanza kuibiwa kwa samia ni michezo ya kitambo, kwa taarifa yako hata samia akitolewa leo ccm itaendelea kutawala na business as usual zitaendelea.
Tanzania itapona kwa kuiua CCM. Taifa litapona kwa kuifuta ccma na kutaifisha mali zake. Nje ya hapo tutakuwa tunazungumzia mlemle.
 
Kura hazijaanza kuibiwa kwa samia ni michezo ya kitambo, kwa taarifa yako hata samia akitolewa leo ccm itaendelea kutawala na business as usual zitaendelea.
Hizi fikra na mawazo ya kijinga na waninga ndiyo hatutaki kuyasikia, mbona unarudisha mambo nyuma! Watu wema wanajaribu kubadilisha hali yet a fool like you usiyethubutu kufanya chochote ni kukatisha watu tamaa! Kama huwezi kuwatia moyo watu kwenye mapambano then shut that big mouth of yours.
 
Watu kama nyinyi mnatakiwa mtaabike zaidi ili akili zenu ziwakae sawa. Amani inaenda sambamba na haki. Tumechoka kuhubiriwa amani huku haki zetu za msingi zikiendelea kukandamizwa na wahini wachache.
 
Mamlaka hazijawahi kuuamini umma, hata kabla ya O29. Maandamano kupigwa marufuku kama si ya kuisifia serekali na chama chake ni jambo lililozoeleka.
Utasikia kauli kama "nterejensia inaonesha uvunjifu wa amani, ikithubutu kuandamana utapigwa kama mbwa koko", nk, nk, ........
Hilo la kiongozi wa dini kuelekeza uchomaji moto laniwia gumu kuamini japo pia silikatai moja kwa moja. Nachelea kuamini hiyo video kwani imekuwepo tabia ya muda mrefu ya CCM na serekali kuzalisha taarifa,kutengeneza matukio ili ku supress mtu au kikundi wasichokipenda
Si nadra kwa CCM na serekali yake kukubambikia kesi ya ugaidi, uhaini, uchomaji nyumba, uchanaji bendera ya CCM, ...............ukihimili hayo mazengwe yote kukuondoa uhai ni option yao pia, hapa napo watanzania wengi tumewapoteza.
Mwigulu history yake ktk chama na serikali imeonyesha umahiri wake ktk kuratibu ujinga huo, na sasa ndo waziri mkuu wenu!
 
Wamegundua nguvu ya umma haizuiwi kwa vitisho. Hawawezi kuliziba jua kwa ungo. Wameona ni ujinga kutegemea kivuli cha fimbo kujikinga na miale ya jua. Watajua hawajui manina zao. Gari la umma lineweka, hakuna wa kulizuia.
 
Wanagwaya maana baadhi ya matamshi yao ya Kifedhuli yanatatumika the Hague...KIBRI KIBRI kiliwajaa sana
Mfano mzuri ni tamko la zuio la watu kuonekana barabarani baada ya saa 12 jioni alilolitoa Wambura siku ya 29/10/2025. Ile kauli iliashiria wazi mpango wa kuua watu makusudi na matokeo yake tuliyashuhudia..... Wambura anaponyokaje trip ya study tour kule uholanzi? Hata Muliro pia ni candidate wa uhalifu wa kibinadamu.
 
Mnapambana kumtoa samia wakati tatizo sio samia ni mfumo
 
Samia amalizie miaka yake mitano mabadiliko yaanze kufanyika sasa kwa mazungumzo na sio vurugu za maandamano.
 
Samia amalizie miaka yake mitano mabadiliko yaanze kufanyika sasa kwa mazungumzo na sio vurugu za maandamano.
Hilo haliwezekani tena, mabadiliko yanaletwa na mwenye uhalali wa umma na sio muuaji. Alipewa nafasi hiyo baada ya kifo cha Magufuli, na akaahidi kuleta mabadiliko, lakini hakufanya hivyo kwa kuburi cha madaraka. Kwa sasa ameshaipoteza hiyo kete kwa maauaji haya
 
Samia amalizie miaka yake mitano mabadiliko yaanze kufanyika sasa kwa mazungumzo na sio vurugu za maandamano.
Ana malizaje miaka Mitano wakati Amejimilikisha madaraka Kwa kubaka Uchaguzi + mauaji Kwa watu !?
 
Ana malizaje miaka Mitano wakati Amejimilikisha madaraka Kwa kubaka Uchaguzi + mauaji Kwa watu !?
Samia hajabaka uchaguzi, kachaguliwa kabisa kwa kishindo, hayo mauwaji katika maandamano ni sehemu tu ya madhara ya maandamano ya vurugu na sehemu nyingine pia hutokea nchi mbalimbali
 
Amna usiogope mkuu wewe ingia road hao wanawatisha tu
 
Umeongea vizuri sana ila wakati wapinzani wanaomba sheria mpya za uchaguzi na ccm kugoma mbona hamkuongea chochote ? si mlijua watanzania ni wale wale wa siku zote !! ccm walishaambiwa sana kuhusu haki za watu ila Kwa kiburi na jeuri waliendelea kukanyaga haki za watu.

ACHA TUPATE HASARA ILI SIKU ZIJAZO TUWE NA UJASIRI WA KUKEMEA MAONEZI.
 
Kipindi kile Mo29 hadi kuapishwa Samuya, kuna watu wazito (viongozi) walikimbilia kujificha kule Ukerewe. Kuna jamaa zangu niliwacha kule (Kwa sasa sipo Ukerewe) wanasema, Siku 1 au mbili kabla ya uapisho qa Samia, kuna Helcopita iliruka usiku wa saa 4 au 5 kutoka kisiwani humo kuelekea mwanza mjini.

Inasemekana viongozi wakubwa wakubwa walijificha humo
 
Mkuu kwanini raisi amejificha haonekani akiwa katika majukumu yake ya kiutawala?
 
Ila watanzania tulikuwa mafara. Nimekumbuka mwaka ule tulichimbwa mkwara na Rpc wa dodoma eti tutapata tabu sana na tukanywea 😂
 
Mkuu kwanini raisi amejificha haonekani akiwa katika majukumu yake ya kiutawala?
Una uhakika?!!!!! Sasa hivi anaongoza kisayansi sana, tena kwa Sasa ndo mmemrahisishia kweli kazi.....hamjui tu. Ninakuambia hakuna serikali itakayopiga maendeleo makubwa kuizidi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…