Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

Mimi sina maswali mengi ila nauliza tu zile pikipiki za samia na baskeli ziko wapi , maana kabla zilionekana zikitamba sana

Swali zimebadilishwa rangi , au zimetelekezwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…