Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

Sasa ulitaka mama was watu afanye Nini?awakamate makoti.?
 
Ziara ya kwanza mkulu alienda kuonana na Mange KimambišŸ˜‚
 
Inaonyesha hujui hizi safari zinavyopangwa.

Siyo kwamba Seneta yule akifika Nairobi,Stergominor anaweza kumwita hapa.

Mipango lazima ifanywe mapema, lazima kwanza waje huku Secret Service kufanya mine sweeping.
Huyu jamaa hajui kabisa mambo ya diplomatic relations. Anadhani ziara ya seneta ni sawa na mtu kutoka kwake kwenda kutembea mjini, kiasi kwamba unaweza kumwita kijiweni kwako na akaja. Ziara kama hizo huwa zinahitaji mipango ya muda mrefu, ulinzi/usalama uangaliwe, na organization ya protokali kuwekwa sawa. Siyo kukurupuka kama kwenda baa kumwagilia moyo.
 
Usipotoshe kuhusu DRC. Wanajeshi wetu bado wapo na wanafanya kazi nzuri sana. Kama unabisha waulize wakongo wenyewe.
 
Obama akiwa rais alifika dar ila hakwenda kenya,
Yote ni mipango, hakuna mda wa kupoteza
 

Waje waongee nini na Rais ombaomba?

Rais anayejialika mwenyewe kwenye nchi za watu hastahili mapokezi yoyote ya kidola. Kupokelewa na kina Mange ndiyo stahili yake. Yaani Rais mzururaji naye ategemee marais wa nchi wenyeji waache shughuli zao ili waje kumpokea. Hiyo haitokei; wenzetu wanajitambua!
 
Kagame kapewa ujumbe mkubwa na Rais wa Kongo- Kinsasha. Ameambiwa hivi ;ACHAGUE MOJA, AMA AMANI NA AFRIKA YOTE AU VITA NA AFRIKA YOTE. Wakati wake madarakani unahesabika,.
 
sasa wakija yule bibi wataongea nini nayeye? itakua wameshashtuka na wao ndomaana hajaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…