Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

Sasa ulitaka mama was watu afanye Nini?awakamate makoti.?
 
Ziara ya kwanza mkulu alienda kuonana na Mange Kimambi😂
 
Inaonyesha hujui hizi safari zinavyopangwa.

Siyo kwamba Seneta yule akifika Nairobi,Stergominor anaweza kumwita hapa.

Mipango lazima ifanywe mapema, lazima kwanza waje huku Secret Service kufanya mine sweeping.
Huyu jamaa hajui kabisa mambo ya diplomatic relations. Anadhani ziara ya seneta ni sawa na mtu kutoka kwake kwenda kutembea mjini, kiasi kwamba unaweza kumwita kijiweni kwako na akaja. Ziara kama hizo huwa zinahitaji mipango ya muda mrefu, ulinzi/usalama uangaliwe, na organization ya protokali kuwekwa sawa. Siyo kukurupuka kama kwenda baa kumwagilia moyo.
 
Kuna ukweli ndani yake..
Lakini vichwa box watakushambulia
Maana yake TZ haina uzito kwa nchi za East Africa, ni kama li Tembo fulani lizembe na lizito kuelewa au kupiga nalo dili.......
Tuliogopa kwenda Msumbiji, Rwanda akajitosa, Tukajipelka na kiherehere Congo kwenda kuwavurugia dili zao, tukaambulia kichapo na vifo, tukaufyata na kufunga virago...
Kuna tatizo hapa....
Usipotoshe kuhusu DRC. Wanajeshi wetu bado wapo na wanafanya kazi nzuri sana. Kama unabisha waulize wakongo wenyewe.
 
Obama akiwa rais alifika dar ila hakwenda kenya,
Yote ni mipango, hakuna mda wa kupoteza
 
Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea.

Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu, wanakuwa Kama hawajaiona Royal tour, waziri changamka.

Mama anataka kuturudisha kwenye ramani ya Dunia US na Ulaya kituo Chao kiwe Tanzania kwanza, nasi pia tujulikane kwao.

Sio waziri anapokelewa na Biden halafu rais anapokelewa na Mange.
View attachment 2378303View attachment 2378304View attachment 2378305View attachment 2378306

Waje waongee nini na Rais ombaomba?

Rais anayejialika mwenyewe kwenye nchi za watu hastahili mapokezi yoyote ya kidola. Kupokelewa na kina Mange ndiyo stahili yake. Yaani Rais mzururaji naye ategemee marais wa nchi wenyeji waache shughuli zao ili waje kumpokea. Hiyo haitokei; wenzetu wanajitambua!
 
Nchi inayopakana na nchi zote za afrika mashariki isiwe na umuhimu afrika mashariki!!!..elimu na uwezo wako wa kufikiri itakua duni,palikua na coalition of the willing,ililenga kujitenga tz,wamefika wapi!?..hao wa kupasua matofali kagame anawajua vizuri walichomfanta na m23 yake
Kagame kapewa ujumbe mkubwa na Rais wa Kongo- Kinsasha. Ameambiwa hivi ;ACHAGUE MOJA, AMA AMANI NA AFRIKA YOTE AU VITA NA AFRIKA YOTE. Wakati wake madarakani unahesabika,.
 
sasa wakija yule bibi wataongea nini nayeye? itakua wameshashtuka na wao ndomaana hajaja
 
Back
Top Bottom