Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Maji kubwa maji kujaa. Leo ataleta la maana kesho ataleta kioja.Huyu hua hana akili anadhani Azerbaijan ni morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji kubwa maji kujaa. Leo ataleta la maana kesho ataleta kioja.Huyu hua hana akili anadhani Azerbaijan ni morogoro
AhaaaaaTeh teh teh mchezaji yupi wa 5imba alieumizwa? Yanga kiboko yenu kudadadeki
Akili ya jamaa iko kwenye kalio!Naomba kujua Azerbaijan iko wapi Kwanza. Mchezaji wa Simba anacheza Azerbaijan tarehe 27 anaondoka tarehe 28 halafu tarehe 29 ana Mechi Dar na Ahly. Mchezaji wa Yanga anacheza na Azam tarehe 17, anaondoka 18 anacheza Azerbaijan 24 & 27, anaondoka huko 28 anacheza na Mamelody 30.
Kuna watu mna akili nyepesi kama Sufi.
Nakukumbusha tu wachezaji wenu watapumzika siku moja wa Yanga siku mbili. Nilisikia Al Ahly waliomba wachezaji wao wasiitwe.Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia. Madhara yake tumekuwa na ligi yenye ratiba za hovyo na zisizoeleweka.
Kwa siku kadhaa kumekuwa na vilio kutokana na wachezaji wa Simba na Yanga kuitwa timu ya taifa wakati timu zinajiandaa kucheza mechi za robo fainali ya CAFCL (na nadhani Yanga ndiyo wanalialia zaidi halafu wakati huo huo wanalalamika kwa nini Dickson Job hajaitwa).
Ukiangalia ratiba ya Bafana Bafana, kuanzia wiki ijayo watakuwa Algeria kucheza mechi 2 za kirafiki na katika kikosi kilichoitwa kuna wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns walioitwa na hawa ni wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Mamelodi na siyo kina Kennedy, Manula, Mwamnyeto au Mzize ambao hawana uhakika kwenye vikosi vya kwanza vya timu zao.
Afrika Kusini anacheza mechi ya pili ya kirafiki na Algeria tarehe 27/03 huko Algeria, yaani siku 3 kabla ya kukabiliana na Yanga. Hii pia ina maana hawa wachezaji hawatakuwa na wenzao katika kipindi chote cha kujiandaa kucheza na Yanga na kuna uwezekano mkubwa watakuja moja kwa moja Dar kujiunga na wenzao. Kwa ratiba hiyo ina maana wanaweza kupata siku moja tu ya kufanya mazoezi na wenzao.
Kuna kitu cha kujifunza hapa.
Kwa mpira wa miguu siku mbili ndio standard.Kimojawapo cha kujifunza ni kuwa mchezaji professional hahitaji wiki mbili kumfundisha na kumuelekeza mpango kazi wa mechi husika. Siku 1 au 2 zinaweza kumtosha.
Nakukumbusha tu wachezaji wenu watapumzika siku moja wa Yanga siku mbili. Nilisikia Al Ahly waliomba wachezaji wao wasiitwe.
Simba haina shida maana wote walioitwa ukiacha Chama ambaye sijajua atarudi siku gani wanaweza kuanzia benchi na wana mbadala wao.Kwa mpira wa miguu siku mbili ndio standard.
Hao hawezi kukosekana Aucho yupo atarudi kishaanza maazoezi ya viungo,Bacca,Aziz,Diarra atarudi na kupumzika siku mbili,kabla ya mechi.Simba haina shida maana wote walioitwa ukiacha Chama ambaye sijajua atarudi siku gani wanaweza kuanzia benchi na wana mbadala wao.
Mihimili ya Yanga ni Aucho, Diarra, Bacca na Aziz. Wakikosekana wawili hapo ni mtihani mkubwa kwa timu.
Kama siku mbili zinatosha sasa hao wenzako wanalialia nini?Hao hawezi kukosekana Aucho yupo atarudi kishaanza maazoezi ya viungo,Bacca,Aziz,Diarra atarudi na kupumzika siku mbili,kabla ya mechi.
Wewe Shabalala,na Kibu wanapumzika siku moja au hujui huyo Chama mechi ngumu anapotea.Mara nyingi mechi ngumu Kibu ndiye anaonekana. Sijajua kwa Saido na Ingonga kwa akili yako unazani Yanga wataaumia.
Lile Bonanza halina umuhimu wowote kwa mpira wetu ndio maana Samata kaamua kupumzika.
Samata yupo sawa na anajielewa sababu ana exposure kubwa kuliko mchezaji yoyote Tanzania.Kama siku mbili zinatosha sasa hao wenzako wanalialia nini?
Hapo wa Simba labda Kibu tu ndiyo wa kumjadili, wengine wala si wa kuwawazia na sina uhakika kama Inonga ameitwa.
Samatta ilitakiwa tuagane kwa heshima kwenye ile AFCON ya Ivory Coast, yatakuja kumtokea ya Bocco, unakaa hadi unapoachwa kimya kimya hakuna anayekuulizia.
Zile mechi zina athari kwenye rank za FIFA. Pia kwa wachezaji zile posho posho hamna anataka kuziacha.
Kwa hiyo wewe ndiyo unajua wachezaji wa mihimili ya Simba ni kina nani kuliko Simba wenyewe?Samata yupo sawa na anajielewa sababu ana exposure kubwa kuliko mchezaji yoyote Tanzania.
Wanaolia wakina nani? Gamondi,Hersi, Kocha wa viungo......?Maana nilio wasikia wakilalama ni wachambuzi mmoja wapo Oscar..... na yupo sawa mchezaji hawezi kupumzika siku moja, bali unamuumiza na kuharibu setup ya timu. Halafu kama hujui Diara na Aziz K tarehe 26 ndio mechi yao ya mwisho so usiku wanakwea pipa then 27 wapo hapa.Stars mechi ya mwisho wanacheza 25,tatizo walipo wataunganisha ndege kama tatu kufika Tanzania.
Mbona wapo mashabiki wa Simba wanao lia au unazani hii fixture itambana Yanga? AL ahly ameomba wachezaji wake wasiitwe ,unazani yy mjinga au anaogopa.
Standard ya mpira mchezaji anatakiwa apumzike siku mbili kabla ya mechi inayofuata.
Halafu kwa timu yako Shabalala na Inonga bado ni mihimili ya timu yako,sababu wana experience ya michuano mikubwa hamna wa kuvaa viatu vyao.
Sasa nani mwenye experience ya mechi za CAF na match fitness bora ktk nafasi zao zaidi ya hao kwenye kikosi chako........ au mpaka hili nalo utaka kubisha?Kwa hiyo wewe ndiyo unajua wachezaji wa mihimili ya Simba ni kina nani kuliko Simba wenyewe?
!!!!!???????
Kwani hiyo timu umeitaja na yenyewe inashiriki michuano ya kimataifa?Hakuna cha kujifunza.
Mpira wetu unawatu wanaotaka kuzipiku record za Simba kwa namna yoyote iwe ni kwa kumkwamisha ama kwa kumzidi kimatokeo.
Watu wana uthubutu wa kuwalipa baadhi ya wachezaji ili wawaumize wachezaji wa timu inayokwenda kucheza kimataifa.
Kuna uhuni mwingi unafanyika kukwamishana ili tu ionekane tupo sawa au wametuzidi.
Wahuni hawa ndio waliovaa jezi za Kaizer na Orlando.Tusiwachukulie poa wahuni hawa
Ipo asia jirani na iranNaomba kujua Azerbaijan iko wapi Kwanza. Mchezaji wa Simba anacheza Azerbaijan tarehe 27 anaondoka tarehe 28 halafu tarehe 29 ana Mechi Dar na Ahly. Mchezaji wa Yanga anacheza na Azam tarehe 17, anaondoka 18 anacheza Azerbaijan 24 & 27, anaondoka huko 28 anacheza na Mamelody 30.
Kuna watu mna akili nyepesi kama Sufi.
Sasa unadhani utopoloo watawafunga mamelod? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo wazingue wenyewe tu
Wahuni siyo watuHakuna cha kujifunza.
Mpira wetu unawatu wanaotaka kuzipiku record za Simba kwa namna yoyote iwe ni kwa kumkwamisha ama kwa kumzidi kimatokeo.
Watu wana uthubutu wa kuwalipa baadhi ya wachezaji ili wawaumize wachezaji wa timu inayokwenda kucheza kimataifa.
Kuna uhuni mwingi unafanyika kukwamishana ili tu ionekane tupo sawa au wametuzidi.
Wahuni hawa ndio waliovaa jezi za Kaizer na Orlando.Tusiwachukulie poa wahuni hawa