changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
1) wachezaji wangapi wa Mamelod waliopangwa kwenye mechi dhidi ya Algeria?Imagine wametoka kucheza mechi ngumu na Algeria jana tu, halafu moja kwa moja wanakuja Dar kujiunga na wenzao. Kuna watu kama wangelazimishwa kufuata hii ratiba wangeandamana
2) Yanga imewaruhusu wachezaji wake wote walioitwa na timu za taifa wakajumuike na timu.
Pacome, Azizi ki, Mudathir, Diarra, Bacca, Musonda, sasa tofauti hapo ni kipi?