Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

Akili ya jamaa iko kwenye kalio!
 
Nakukumbusha tu wachezaji wenu watapumzika siku moja wa Yanga siku mbili. Nilisikia Al Ahly waliomba wachezaji wao wasiitwe.
 
Kimojawapo cha kujifunza ni kuwa mchezaji professional hahitaji wiki mbili kumfundisha na kumuelekeza mpango kazi wa mechi husika. Siku 1 au 2 zinaweza kumtosha.
Kwa mpira wa miguu siku mbili ndio standard.
 
Nakukumbusha tu wachezaji wenu watapumzika siku moja wa Yanga siku mbili. Nilisikia Al Ahly waliomba wachezaji wao wasiitwe.

Kwa mpira wa miguu siku mbili ndio standard.
Simba haina shida maana wote walioitwa ukiacha Chama ambaye sijajua atarudi siku gani wanaweza kuanzia benchi na wana mbadala wao.

Mihimili ya Yanga ni Aucho, Diarra, Bacca na Aziz. Wakikosekana wawili hapo ni mtihani mkubwa kwa timu.
 
Simba haina shida maana wote walioitwa ukiacha Chama ambaye sijajua atarudi siku gani wanaweza kuanzia benchi na wana mbadala wao.

Mihimili ya Yanga ni Aucho, Diarra, Bacca na Aziz. Wakikosekana wawili hapo ni mtihani mkubwa kwa timu.
Hao hawezi kukosekana Aucho yupo atarudi kishaanza maazoezi ya viungo,Bacca,Aziz,Diarra atarudi na kupumzika siku mbili,kabla ya mechi.

Wewe Shabalala,na Kibu wanapumzika siku moja au hujui huyo Chama mechi ngumu anapotea.Mara nyingi mechi ngumu Kibu ndiye anaonekana. Sijajua kwa Saido na Ingonga kwa akili yako unazani Yanga wataaumia.

Lile Bonanza halina umuhimu wowote kwa mpira wetu ndio maana Samata kaamua kupumzika.
 
Kama siku mbili zinatosha sasa hao wenzako wanalialia nini?

Hapo wa Simba labda Kibu tu ndiyo wa kumjadili, wengine wala si wa kuwawazia na sina uhakika kama Inonga ameitwa.

Samatta ilitakiwa tuagane kwa heshima kwenye ile AFCON ya Ivory Coast, yatakuja kumtokea ya Bocco, unakaa hadi unapoachwa kimya kimya hakuna anayekuulizia.

Zile mechi zina athari kwenye rank za FIFA. Pia kwa wachezaji zile posho posho hamna anataka kuziacha.
 
Samata yupo sawa na anajielewa sababu ana exposure kubwa kuliko mchezaji yoyote Tanzania.

Wanaolia wakina nani? Gamondi,Hersi, Kocha wa viungo......?Maana nilio wasikia wakilalama ni wachambuzi mmoja wapo Oscar..... na yupo sawa mchezaji hawezi kupumzika siku moja, bali unamuumiza na kuharibu setup ya timu. Halafu kama hujui Diara na Aziz K tarehe 26 ndio mechi yao ya mwisho so usiku wanakwea pipa then 27 wapo hapa.Stars mechi ya mwisho wanacheza 25,tatizo walipo wataunganisha ndege kama tatu kufika Tanzania.

Mbona wapo mashabiki wa Simba wanao lia au unazani hii fixture itambana Yanga? AL ahly ameomba wachezaji wake wasiitwe ,unazani yy mjinga au anaogopa.

Standard ya mpira mchezaji anatakiwa apumzike siku mbili kabla ya mechi inayofuata.

Halafu kwa timu yako Shabalala na Inonga bado ni mihimili ya timu yako,sababu wana experience ya michuano mikubwa hamna wa kuvaa viatu vyao.
 
Kwa hiyo wewe ndiyo unajua wachezaji wa mihimili ya Simba ni kina nani kuliko Simba wenyewe?
 
Kwa hiyo wewe ndiyo unajua wachezaji wa mihimili ya Simba ni kina nani kuliko Simba wenyewe?
Sasa nani mwenye experience ya mechi za CAF na match fitness bora ktk nafasi zao zaidi ya hao kwenye kikosi chako........ au mpaka hili nalo utaka kubisha?
 
Kwani hiyo timu umeitaja na yenyewe inashiriki michuano ya kimataifa?
 
Ipo asia jirani na iran

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Takataka za mleta mada... Kuna ulazima gani wa hizo mechi mpka ukawatumia wachezaji ambao wapo kwenye mashindano mhimu kuliko hilo Bonanza?. Yaan timu ichukuliwe wachezaji 8-9 ambao n first 11 kuanzia 17-27 afu 29-30 mechi unasema hakuna athiri?. Kuna sababu gani za timu kukqaa kambini na kufanya mazoezi pamoja kama hizo hoja zako Zina mashiko?. Punguzeni utahira .
 
Utopolo wazingue wenyewe tu
Imagine wametoka kucheza mechi ngumu na Algeria jana tu, halafu moja kwa moja wanakuja Dar kujiunga na wenzao. Kuna watu kama wangelazimishwa kufuata hii ratiba wangeandamana
 
Wahuni siyo watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…