Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Si ndio hapo sasa. Sasa kumekuwa na mafundisho na mashuhudizo mengi ya kufarakanisha, kukwaza na kutaabisha watu.Kuweka Imani na kuamua kuweka siku kuwa YESU alizaliwa haimaanishi kuwa humuamini Yesu...
Kuamini tu kuwa Yesu alizaliwa na kufurahia sio dhambi ..
Unaweza kuwa sahihi Kwa upande mmoja,Kuweka Imani na kuamua kuweka siku kuwa YESU alizaliwa haimaanishi kuwa humuamini Yesu...
Kuamini tu kuwa Yesu alizaliwa na kufurahia sio dhambi ..
Kitendo cha kuamini moyoni kuwa Yesu alizaliwa kwa ajili yako tayari umeokoka...Si ndio hapo sasa. Sasa kumekuwa na mafundisho na mashuhudizo mengi ya kufarakanisha, kukwaza na kutaabisha watu.
Unawasemea?Kuna shida gani kwani? Tatizo liko wapi kama wamekubalina hivyo.
Bibi yangu hakuwa anajua alizaliwa lini. Zaidi ya kusema kipindi cha nzige. Akaamua kuweka birthday yake tar 1 march 1932. Na sisi tukakubaliana na pendekezo lake and we were all happy 1st of march ikifika.
As long wao wamekubaliana tar 25 ndo siku ya kuzaliwa kwa mwokozi wao....acha wafurahie, usiwaingilie.
Roho Mtakatifu ni mwalimu wetu na anatufundisha tunajua...Unaweza kuwa sahihi Kwa upande mmoja,
Swali ni je, Roho mtakatifu ndiye aliyeelekeza TAREHE 25 DECEMBER iwe siku ya kusherehekea Kuzaliwa Kwa Yesu?
Swali wanaulizwa wakristo, Si wa Dini, Bali wa IMANI.Huyo Roho Mtakatifu uliwahi muona wapi?
Una ushahidi wa kimaandiko kuhusu Ruhusa hiyo?Roho Mtakatifu ni mwalimu wetu na anatufundisha tunajua...
Ila suala la mwanadamu kupanga siku ya kufurahia kwa Mkombozi wa maisha yake analo yeye mwenyewe...
Mimi ni Mkristo Kwa Imani, Si Kwa Dini na dhehebu,Kwa nini wewe hilo likunyime usingizi mwishowe upooze mwili bure..😛😛
Wewe nani alikwambia kwamba kupiga jiwe kwa mawe inaweza ikakuondolea dhambi..😛😛
Au kwamba ukimuua mtu wa imani tofauti na wewe unaenda ahera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unaosimama masaa 24/7 x 52 na pombe inayotiririka kwenye mito..😂😂😂
Yaani ni inachosha. hakuna sehemu yoyote hawa mitume waliagiza tusherehekee birthday zao, wala tarehe za kuzaliwa kwao hazijulikani, hivi tunahangaikia nini, mwisho tufanye dhambi ya uongoSalaam ,Shalom.
Mkristo anayeulizwa swali hili ni yule Aliyeokoka, aliyejazwa Roho mtakatifu, aaminiye juu ya karama Tano, miujiza, unabii na kunena Kwa lugha vikiwemo, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho mtakatifu.
Roho mtakatifu ndiye kiongozi,mwalimu na mtoa maelekezo wetu,
Swali ni je, lini Roho mtakatifu alitoa maelekezo Kwa wakristo lini kusherehekea siku ya Kuzaliwa Yesu Kristo Kila TAREHE 25 DECEMBER?
Pia je, yupo mwenye andiko lolote linaloelekeza mkristo kusherehekea BIRTHDAY?
Mungu awabariki, karibuni.
Amen
Ukute hata roho mtakatifu humjui acha tu kuwa naye. au unamjuaRoho Mtakatifu ni mwalimu wetu na anatufundisha tunajua...
Ila suala la mwanadamu kupanga siku ya kufurahia kwa Mkombozi wa maisha yake analo yeye mwenyewe...
Hebu tueleze japo kidogo, kuna dhambi gani kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu?Salaam ,Shalom.
Mkristo anayeulizwa swali hili ni yule Aliyeokoka, aliyejazwa Roho mtakatifu, aaminiye juu ya karama Tano, miujiza, unabii na kunena Kwa lugha vikiwemo, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho mtakatifu.
Roho mtakatifu ndiye kiongozi,mwalimu na mtoa maelekezo wetu,
Swali ni je, lini Roho mtakatifu alitoa maelekezo Kwa wakristo lini kusherehekea siku ya Kuzaliwa Yesu Kristo Kila TAREHE 25 DECEMBER?
Pia je, yupo mwenye andiko lolote linaloelekeza mkristo kusherehekea BIRTHDAY?
Mungu awabariki, karibuni.
Amen
Jikite kwenye mada!Ni amri gani inayovunjwa kwa kusherehekea siku hiyo?
Hata nikikwambia ninaye au sina hutataamini, baki hivyo ujuavyo...Ukute hata roho mtakatifu humjui acha tu kuwa naye. au unamjua
Endelea kuwatumbukiza kwenye shimo reeefu.As long wao wamekubaliana tar 25 ndo siku ya kuzaliwa kwa mwokozi wao....acha wafurahie, usiwaingilie.