Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Sio poa kuwahusisha hao watu na upinzani wa Chama sio vizuri,Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Upinzani unahitaji watu wenye kariba ya hao niliowataja usonge mbele ,kizazi Cha lema ,lissu na Mbowe kinaurudisha nyuma sana upinzaniJamaa amezingua, Watu wenyewe aliowataja hawana hata Ushawishi.
Tena umaarufu wao upo chini kuliko Timu ya Ihefu waliowafunga Yanga 😂
Sasa katika hao uliowataja yupi yupo Upinzani, si ni wote akina Bashiru na Kabudi wanalamba Asali?Upinzani unahitaji watu wenye kariba ya hao niliowataja usonge mbele ,kizazi Cha lema ,lissu na Mbowe kinaurudisha nyuma sana upinzani
Tusijisahaulishe kilicho mpata Kolimba,Wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu wame
Una hofu mpaka unakimbia kivuli chako mwenyewe.
Hao wote ni wahamiaji haramu ndani ya CCM na hakuna mwenye ubavu wa kuipinga CCM.Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Hakika umesema kweli. Hao ni wanamapinduzi wa kijamaa wa kweli. Wanabeba fikra na itikadi halisia ya ccm. Itikadi yenye kulinda na kutetea umma wa wananchi. Itikadi inayodai haki na usawa kwenye uchumi wa taifaHapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
utawaamini wakiwa wameasi ccm na kuanzisha chama chao?, wakihamia upinzani? au utaawamini wakianza kuikosoa serikali wakiwa bado ni wanachama wa ccm?.Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Kwa vile aliyekuloga kafa ninaamini ndio basi tenaHapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Sukuma gang hoyeeeee!!!!!!Endelea kuota haitawezekana tena katika ardhi ya Tanzania kuchagua Sukuma gang.Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Kwenye uso wa dunia hii, hili halitakuja kutokea. Namna maadili ya watu hawa yalivyo haitakuja kutokea na ikitokea ukawaona wako nje ya chama chao, basi ujue kuwa chama hicho ni kipya kabisa na kitakuwa ni "variant" tu ya chama chao kile cha zamaniHapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Kabudi na Bashiru wasitoke, wapambane wakiwa ndani ndo Pana support kubwa kuliko nje.Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.
Sukuma gang hawana nafasi tena nchi tayari imeshapata uhuru kwa mara ya pili tangu 09/12/1961 ikaja kuwa koloni la Chato empire chini ya Jemedari Pombe Magufuri na kufurushwa vibaya 17/03/2021 na COVID 19. Baada ya hapo tukapata Rais mwanamke kiulaini Mheshimiwa Samiah Hassan Suluhu.Kabudi na Bashiru wasitoke, wapambane wakiwa ndani ndo Pana support kubwa kuliko nje.
Wahuni watoke CCM Ili Imani irudi Kwa wananchi.
Lini ulimchagua huyo mwanamke?Sukuma gang hawana nafasi tena nchi tayari imeshapata uhuru kwa mara ya pili tangu 09/12/1961 ikaja kuwa koloni la Chato empire chini ya Jemedari Pombe Magufuri na kufurushwa vibaya 17/03/2021 na COVID 19.Baada ya hapo tukapata Rais mwanamke kiulaini Mheshimiwa Samiah Hassan Suluhu.
Ndiyo maana Humphrey Polepole,Dr.Bashir na Prof.Kabudi hawatakiwi kwa namna yoyote ile maana lengo lao ni kutengeneza matabaka na kuigawa nchi.Lini ulimchagua huyo mwanamke?
Pia jua kuwa hakuna kitu inaitwa sgang Nchi hii,
Lipo tabaka la kundi dogo waliojitajirisha isivyo halali wanapambana kuwadidimiza wenye HAKI na kuwabebesha mizigo mizito.
Tuhakikishe Nchi inakuwa moja, tusikubali kugawanywa makundi makundi.
Aamen
Endelea kujibaraguzaAliyeelewa anieleweshe tafadhali
Hao ndio masalia ya Nyerere chamani,Ndiyo maana Humphrey Polepole,Dr.Bashir na Prof.Kabudi hawatakiwi kwa namna yoyote ile maana lengo lao ni kutengeneza matabaka na kuigawa nchi.
Nyerere hakuwahi tengeneza matabaka Tanzania alipenda wote tuwe kitu kimoja na kweli kwa asilimia Tisini alifanikiwa leo yaani tunaongea Lugha moja Kiswahili,Amani ya Tanzania ni matunda aliyoacha Nyerere kwa kuimarisha Upendo na Mshikamano lakini hao watu Chini ya Hayati Magufuri walitengeneza makundi ya ajabu ajabu ambayo hayajawahi kutokea tangu tupate Uhuru kama vile Watu Wasiojulikana,Sukuma Gang,Kanda pendwa,Chama pendwa nk.Hao ndo masalia ya Nyerere chamani,
Nyerere hakuanzisha chama Ili viongozi walambe asali Ili wananchi warambe shubiri.
Wavamizi ndani ya chama ndo wafurushwe, hivyo sioni sababu ya Polepole na kabudi Kutoka ndani ya CCM!!!
Huoni waliopo sasa wanavyotengeza mtandao wa wizi wa Mali za Umma Nchi nzima?Nyerere hakuwahi tengeneza matabaka Tanzania alipenda wote tuwe kitu kimoja na kweli kwa asilimia Tisini alifanikiwa leo yaani tunaongea Lugha moja Kiswahili,Amani ya Tanzania ni matunda aliyoacha Nyerere kwa kuimarisha Upendo na Mshikamano lakini hao watu Chini ya Hayati Magufuri walitengeneza makundi ya ajabu ajabu ambayo hayajawahi kutokea tangu tupate Uhuru kama vile Watu Wasiojulikana,Sukuma Gang,Kanda pendwa,Chama pendwa nk.