Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

Mbona Pro CCM mnaanza kuhalisha jamani?Mmefanya utafiti lini?Mbona Lissu mnamwogopa sana?Mnapenda kujipa moyo sana?Labda nikwambie ,Lissu hata JPM alipokuwepo alikuwa anatisha sana .Kwa sisi tunqotumia technical analysisi tunajua Lissu atatisha sana.
 
Waadilifu na wazalendo hawatakiwi Awamu hii.
Siyo Waadilifu hao wala uzalendo kwao ni sifuri mtu unauza elimu yako kwa mtawala ama kweli Rushwa ni adui wa haki,pamoja na elimu yao walifanya mambo ya hovyo sana.
 
Hawana uwezo wakuongoza uku wansoongoza hawataki fair play ground.Hizi akili unazo wewe tu ila wanaoongoza hawawazi kijinga hivyo kwasababu wanajua nguvu ya upinzani.
 
Nje ya ccm ni weupe Sana maana ukiwa upinzani hoja yako upimwa kwa ujazo wa ukweli
Pindi polisi wakiwavamia tu watakunya hapohapo
 
Ndiyo maana Humphrey Polepole,Dr.Bashir na Prof.Kabudi hawatakiwi kwa namna yoyote ile maana lengo lao ni kutengeneza matabaka na kuigawa nchi.
Wala hujui kitu wewe. Kwani uliambiwa hakuna matabaka nchi hii.
Hao ni waomini wa tabaka la wavuja jasho maslahi yao kutawala. Sio waomini wa tabaka lenye nacho kushika uongozi kwa maslahi yao.
 
Wala hujui kitu wewe. Kwani uliambiwa hakuna matabaka nchi hii.
Hao ni waomini wa tabaka la wavuja jasho maslahi yao kutawala. Sio waomini wa tabaka lenye nacho kushika uongozi kwa maslahi yao.
Tabaka la Wasiojulikana hilo.
 
Hakuna upinzani au watia changamoto kama wanavyoitwa siku hizi wa kunadi sera na wananchi wakawaelewa kamwe, kama hawajui basi uwanja huo hapo na siku ya sanduku kuna watu watasingizia wameibiwa wakati wako pamoja na wezi hapo hapo!!!
 
Kabudi ni kama Mwalimu kimaono
Dkt.Bashiru ni kama Magufuli kiutendaji
Polepole kama Kikwete kiuzungumzaji
Naomba kujua umri wako kwanza tafadhali kabla sijakujibu kwa hoja.
 
NAHISI MWIGULU ATAPATA TABU SANA HUU MSIMU, HUKO ALIKO MAPIGO YA MOYO MBIO MBIO. ILA NAHISI KUWAPOTEZA SANA WATU KWA PRESHA..SABABU YA HII MIKUTANO YA HADHARA..YANGU MACHO NA MASIKIO JAMANI
 
Mambo ya aibu๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

Aibu ya nini? Kuna watu wanakufa kwa wingi zaidi huko kwenu kwa sababu za hayo hayo madawa yenu. Muongo tu wewe na ukimbari wako.

Aibu kwa nani? Wacha wivu utakumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ