Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Ya tatu ndio inakulegeza kwa mbaali🥲
Katika kitu huwa najilaumu mpk kesho.... nimewah muandikia mtoto wa mtu barua mbili, majibu kimya🥺
Nikaenda dukani kwao kujua tunafanyaje kuhusu hisia zangu,,, zile barua zikachanwa mbele yangu halafu nikarushiwa😂😂

Kama movie ya kihindi, ila zamani hapana kwakweli🏃
 
Na ukinyamaza anakuja kukuuliza mbona siku hizi upo kimya, nachoka mimi
 
Je, inawezekana kuwa wanaume wamekua madomo zege na hawajui tena kutongoza au ndiyo ukisasa?
Kizamani ndiyo ilikua poa, unatumiwa mpaka barua za kuimbishwa kwa maneno matamu!
Pamoja na huo udomo zege unaosema,ila siku hizi watu wanafanya ngono kupitiliza kuliko zamani yaani ngono imekuwa kitu rahisi sana.Mchakato wa kutongoza zamani unachukua miaka,mchakato wa kugusa na chuchu nao miaka,mchakato wa kugonga ndio usiseme.Sasa unajiuliza kweli wanaume ni madomo zege au ndio kama asemavyo mtoa mada kulana kimasihala kwa kutengeneza mazingira simple.
 
Kwa hiyo hapo alivyokubali kukusindikiza ndiyo ameshakubali kuliwa au?
Hilo mbona lipo wazi siyo la kujiuliza?hiyo ilikuwa tayari ni idea assuming tungefika kule then nimcheleweshe makusudi kuwe na ugumu wa kurudi kwa ndugu zake si ningemalizana nae,ni vile haikuwa lengo langu but ningemkazia nisingemkosa.

Kama wewe mtu mzima unadhani 2005 kurudi nyuma kuna binti alikuwa anakubali mwaliko wa mwanaume hovyo hovyo kama hivi?
 
Waje hapa wasema mbuzi hawa🙂
Nadhani sababu kubwa wanawake wa sasa wengi ni warahisi hivyo mwanaume anaona ya nini kujitesa ukiringa wewe leo kesho atapata mtu mwingine, na pia wanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu, mwenye nia ya dhati atavuta vuta muda.
 
Wa kuclear mzigo bandarini kwa zama hizi...mmmh! Watu wanaitaka waichape wakupe ya kuogea na kufulia hiyo bikini 👙😅😅
 
Na ukinyamaza anakuja kukuuliza mbona siku hizi upo kimya, nachoka mimi
Yani hovyo sana, hapa aiiseeehh!
 
HAHHAHAHAAHAAAAA😁 JAMAA FULANI SOKONI ALIMTONGOZA DEMU, SASA YULE DEMU AKAWA ANAMKATALIA NA KUMUONESHA DHARAU, SIKU MOJA DEMU KAPITA PALE SOKO LA MAJENGO DODOMA ANATOKA SALOON KWAKE, JAMAA AKAMSEMESHA, DEMU SIJUI ALIMJIBUJE, JAMAA AKAROPOKA KWA SAUTI,

"MTU MWENYEWE HUNA HATA TAKO"
 
Pamoja na huo udomo zege unaosema,ila siku hizi watu wanafanya ngono kupitiliza kuliko zamani yaani ngono imekuwa kitu rahisi sana.
Ni kweli kabisa!
Mchakato wa kutongoza zamani unachukua miaka, mchakato wa kugusa na chuchu nao miaka, mchakato wa kugonga ndio usiseme.
ilikua ni mchakato kweli, mchujo kali na ukifanikiwa kupita vipengele vyote ukampata unaona kweli ulifanyia kazi hicho unachokila.
Sasa unajiuliza kweli wanaume ni madomo zege au ndio kama asemavyo mtoa mada kulana kimasihala kwa kutengeneza mazingira simple.
Nafikiri ni kwelii kulana kimasikhara imekua kawaida sana, na mabinti wamekua wepesi sana kutoa tupu zao, mtu akijitajidi sana labda atampa hela ya kusuka, then anapewa tamu, wala hahitaji efforts!

 
Hilo mbona lipo wazi siyo la kujiuliza?hiyo ilikuwa tayari ni idea assuming tungefika kule then nimcheleweshe makusudi kuwe na ugumu wa kurudi kwa ndugu zake si ningemalizana nae,ni vile haikuwa lengo langu but ningemkazia nisingemkosa.
Sasa hapo ni yeye alikukubalia au ni wewe ndiyo ulikua na ajenda na ulipanga kutengeneza mazingira ya kumla bila hata kumtongoza. Hayo ndiyo mambo anayoyasema mleta mada, yani mwanamke akiombwa chochote na mwanaume ajue tu kwamba anamaanisha anataka kumkula.
Kama wewe mtu mzima unadhani 2005 kurudi nyuma kuna binti alikuwa anakubali mwaliko wa mwanaume hovyo hovyo kama hivi?
Sisi tulifundishwa mwanaume hazoewi, na tukakua hivyo, hata kuonekana umesimama naye sokoni muda mrefu mnaongea utaonekana huna maadili.
 
Binafsi kuna level nimefika nimeona mapenzi ya kukulana tu ni kama ushamba flani .

Naona kuna namna nimefika nahitaji zaidi life partner 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…