Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nyumbu kama nyumbu akiongea kwa kutumia kinyeoWako bize kuifuta Chadema kwenye daftari la msajili wa vyama ila hawataweza kuifuta kwenye mioyo ya mamilioni ya watanzania kwani Chadema ni imani lamili kama ilivyo Uislamu au Ukristo.
Fika pale airport ya Msoga utapewa code mkuuNaombeni Dili basi kama hakuna ukaguzi mkali
Japo sijui madili hakuna dili hapaFika pale airport ya Msoga utapewa code mkuu
🤣🤣🏃Japo sijui madili hakuna dili hapa
Wafanya biashara hiyo wako madarakaniZama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Banana République Du TanzaniaZama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?