Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Tatizo kuna watu tunawapa michongo kumbe ni wasiojulikana wazee wa vitengo, kuna kenge mmoja humu alinifanya nikaishi maisha magumu sana alikuja pm nikampokea nikampa ABC mwisho wa siku nikajikuta mikononi mwa majangiri ya serikali polisi sijakaa sawa watu wa migration wana mimi hawa walinisumbua sana ya kuwa mimi si m Tanzania mbaya zaidi nilikuwa nahojiwa na vitoto vya 85 nilivichachafya vikatulia mpaka leoOooh nawapataje hao
Mbona kaka yetu wa dragi controo na enfosimenti anasema kadhibiti mno hayo kwa mafanikio makubwa sana?Hakuna kipindi ambacho tanzania kuna biashara ya madawa ya kulevya aina ya heroin,cocaine,shisha nk kama kipindi hichi cha utawala wa mama. Kinachosababisha kuwa tusisikie habari hizo ni kuwa wanaokamatwa na madawa hayo ni viongozi wenye vyeo vikubwa serikalini ambao hata mahakama na vyombo vya dola vinawaogopa kuwaadabisha.Kama unabisha tembelea viwanja vya ndege ujionee vifurushi lukuki vya madawa hayo yalivyotapakaa kila kona za uwanja.
Wewe ni me au ke make ni kazi amsha popo si ya kitotoWow naanza je hii michongo ?
Ndiyo maana ukasema niwe na gari sio?
Pole mzee niamini mimiTatizo kuna watu tunawapa michongo kumbe ni wasiojulikana wazee wa vitengo, kuna kenge mmoja humu alinifanya nikaishi maisha magumu sana alikuja pm nikampokea nikampa ABC mwisho wa siku nikajikuta mikononi mwa majangiri ya serikali polisi sijakaa sawa watu wa migration wana mimi hawa walinisumbua sana ya kuwa mimi si m Tanzania mbaya zaidi nilikuwa nahojiwa na vitoto vya 85 nilivichachafya vikatulia mpaka leo
Mi ni ke mkuuWewe ni me au ke make ni kazi amsha popo si ya kitoto
Aje tumuonyeshe machimbo ya bangi mirungi na unga kama ana nia ya kuthibiti madawaMbona kaka yetu wa dragi controo na enfosimenti anasema kadhibiti mno hayo kwa mafanikio makubwa sana?
Mimi mteja mpya nikitaka unga napatajeAje tumuonyeshe machimbo ya bangi mirungi na unga kama ana nia ya kuthibiti madawa
Hutoweza hii kazi binti yangu fanya kazi tu halali hizi haramu achana nazo zitakuletea shida kabla hujafikia malengoMi ni ke mkuu
Kijana naijua hiyo kizembe namna hii 🤣🤣🤣Mimi mteja mpya nikitaka unga napataje
Naombeni Dili basi kama hakuna ukaguzi mkali
Kizembe namna hii🤣🤣Pole mzee niamini mimi
mi ni mtu mzuri sana sitakuangusha kabisa
Unaniuzia uoga 😢
Dah! Mimi napenda tu kudadisi mamboKijana naijua hiyo kizembe namna hii 🤣🤣🤣
Mbona hutupi madini, sisi tutakukamatia wapi na hizi fake idKizembe namna hii🤣🤣
Hata aliyeniuza alikuwa muungwana sana kwangu mwisho wa siku nikajikuta nadakwa kizembe kabisaKizembe namna hii🤣🤣
WAnakula kwa urefu wa kambaZama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Pm ndiyo shida ilikoanziaMbona hutupi madini, sisi tutakukamatia wapi na hizi fake id
Tukija pm tufukuze!Pm ndiyo chanzo ilianzia
Kwahiyo hata report yao nadhani ipo page ya kwanza ni magumashi sasa, maana muda si mrefu alikuwa nyuma mic anatoa tathimini namna mamlaka ilivyotokomeza kwa kiasi kikubwa hadi kusema hata sober house sasa zinaanza kupungua.Aje tumuonyeshe machimbo ya bangi mirungi na unga kama ana nia ya kuthibiti madawa