Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

Ila chips ni tamu, kuna chips zinaandaliwa pale UHONDO TAKE AWAY Mwanza, hawa jamaa.....mbinguni moja kwa moja room yao itakua na ac na chaja ya type c walah bila kusahau free Wi-Fi
Hizi dharau sasa, unataka kusema chips za mama isuja wa tabata pale sio tamu, yaani hao jamaa wamshinde mama Isuja kweli? [emoji848]
 
Kwa Dar migahawa mingi hawajui kupika, wanachojua ni kuweka nyanya na nazi za dukani tu,
So alternatively unaona bora ule chips tu
Tembelea migahawa ya wapemba Kariakoo na Ilala sema uwe tayari kulipa 5000 au zaidi kwa mlo mmoja.

Vinginevyo kama budget yako ni kula kwa buku 2 huwezi kula vilivyopikwa kitaalamu.
 
Wanaume wa daslama hata utie sumu kwenye chips wakiwa wanakuona watakula tuu, sisi tunaokula viazi vitamu vya kuchemsha na nguna ya maana wanatuona washamba lakini miaka sio mingi tutajua nani mjanja nani mshamba
Uingereza na Ufaransa ndio wagunduzi wa chips, wameanza kula chips kabla hawajaja Afrika. Life expectancy ya Mwingereza ni miaka 80 wakati life expectancy ya mbongo ni miaka 60 na kitu.

Yaani unywe panadol za 100 za Mhindi kiwanda cha uchochoroni, unywe visungura na Konyagi fake, uende hospitali uchwara uambiwe una UTI ambayo huna na upewe dawa za Kipakistani, ule unga uliosagwa kwa mahindi yenye sumu kuvu kisa utunzaji mbaya wa nafaka, ujipake mafuta ya Kichina yenye kemikali za sumu, uishi na mbuzi na kuku kwenye nyumba hiyohiyo. Alafu utarajie kuishi maisha marefu kisa huli chips.
 
Tembelea migahawa ya wapemba Kariakoo na Ilala sema uwe tayari kulipa 5000 au zaidi kwa mlo mmoja.

Vinginevyo kama budget yako ni kula kwa buku 2 huwezi kula vilivyopikwa kitaalamu.
Mkuu nilipo ndo utapata hasira zaidi hivi vyakula sijui wali ndiz nk, bei ndo inaanza elf 5 ila ukilipa utasonya tu, kuoika hawajui af wanajifanya brand. So i opt fo chips
 
Uingereza na Ufaransa ndio wagunduzi wa chips, wameanza kula chips kabla hawajaja Afrika. Life expectancy ya Mwingereza ni miaka 80 wakati life expectancy ya mbongo ni miaka 60 na kitu.

Yaani unywe panadol za 100 za Mhindi kiwanda cha uchochoroni, unywe visungura na Konyagi fake, uende hospitali uchwara uambiwe una UTI ambayo huna na upewe dawa za Kipakistani, ule unga uliosagwa kwa mahindi yenye sumu kuvu kisa utunzaji mbaya wa nafaka, ujipake mafuta ya Kichina yenye kemikali za sumu, uishi na mbuzi na kuku kwenye nyumba hiyohiyo. Alafu utarajie kuishi maisha marefu kisa huli chips.
Aliekuambia Mimi nakunywa pombe au hizo panadol na mataka taka mengine uliyo andika hapa ni nani 🤔watu wenye akili za kidaslama mkiona au kusikia chipsi inasemwa vibaya hua mnalukwa na akili kabisa yani🤔 wewe endelea kula michips yako hujakatazwa na mtu yeyote
 
Back
Top Bottom