Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

Ila chips ni tamu, kuna chips zinaandaliwa pale UHONDO TAKE AWAY Mwanza, hawa jamaa.....mbinguni moja kwa moja room yao itakua na ac na chaja ya type c walah bila kusahau free Wi-Fi
La Mama OG🤣
 
Aliekuambia Mimi nakunywa pombe au hizo panadol na mataka taka mengine uliyo andika hapa ni nani 🤔watu wenye akili za kidaslama mkiona au kusikia chipsi inasemwa vibaya hua mnalukwa na akili kabisa yani🤔 wewe endelea kula michips yako hujakatazwa na mtu yeyote
Hiyo ni figure of speech sijakusema wewe. Naamanisha kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida, kutokula chips hakukuokoi na lolote. Kama ni hivyo Mwanza na Shinyanga zisingekuwa zinaongoza kwa wagonjwa wa kansa wakati wanaishi uko vijijini. Hawali chips, ila wanatumia maji yenye mercury kutokana na uchimbaji madini.

Kama mamlaka za nchi haziwezi linda usalama wa mraji, ugali makande si kitu. Waingereza wanakula chips na life expectancy yao ni 80yrs, bongo hii hapa wanakula makande hata life expectancy haifiki 65.
 
Vijijini ndio kuna watu wenye umri mrefu kushinda mijini alafu mtu kula viazi au nguna sio kwamba ni kionesho anaishi Kijijini acha ushamba
Tafuta takwimu acha ujuaji mijini Kuna huduma safi za afya, maji safi, vyoo vya kutosha etc
 
Kwa Dar migahawa mingi hawajui kupika, wanachojua ni kuweka nyanya na nazi za dukani tu,
So alternatively unaona bora ule chips tu
Mimi mgahawani huwa nauliza ugali, kwa sababu naamini hauna ufundi sana wa kupika. Nishakuwa dissappointed sana wali. Nikikosa ugali, I prefer chips to wali.

After all, we shall all perish.
 
Mimi mgahawani huwa nauliza ugali, kwa sababu naamini hauna ufundi sana wa kupika. Nishakuwa dissappointed sana wali. Nikikosa ugali, I prefer chips to wali.

After all, we shall all perish.
Vipi kuhusu mboga? Mana mi wananikera na viungo vyao vya dukan sijui ni madude gani yale
 
Vipi kuhusu mboga? Mana mi wananikera na viungo vyao vya dukan sijui ni madude gani yale
Uzuri wa ugali hauhitaji michuzi. Ni mboga kavu kavu....samaki mkavu, nyama choma na majani kidogo inatosha.
 
Matokeo ya magonjwa ya kutokuambukizwa ni kwa kuwa sasa hivi watu wengi wanamudu gharama za matibabu kwa ajili ya bima kuongezeka hivyo kimbilio la mwisho ni muhimbili kwa hiyo namba inakuwa kubwa.

Lkn hayo yapo miaka yote ila watu walikuwa hawawezi kufika muhimbili au cancer ilikuwa ni ocean road peke yake.

Sasa muhimbili wanaona idadi inaongezeka kwa kuwa referral ni nyingi na wanapokea kwa kuwa iwe bima au cash watu wanamudu ila zamani case kama hizi upo huko ushirombo inaishia dispensary unafia huko na record zinaishia hapo.
 
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.

Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na vina tendecy ya kukwama kooni.

Mimi sina neno na ulaji wenu, ila ndani ya miaka 10 ijayo tujiandae kuteseka na magonjwa yasiyoambukiza ambayo ni mabaya kushinda yanayoambukiza.

Sababu kuu ni kwamba mijini wengi wetu hatufanyi manual works, tunafanya tu light duties ambazo hazifanyi kuyatumia hayo mafuta tunayoyala kwa wingi. Mwisho wa siku yanakundikana mwilini na kuziba mishipa ya damu, hii inapelekea moyo kupata shida ya kusukuma damu na kuishia kwenye magonjwa kama Presha ya Kupanda na Kisukari.

Kwa sasa ukienda hospitali ya taifa Muhimbili, kwa siku hukosi wagonjwa wapya wa Kiharusi (Stroke) kuanzia 5 na kuendelea. Jiji la Dar miaka 10 kila nyumba itakuwa na atleast mwanafamilia mwenye magonjwa yasiyoambukiza hasa Pressure na Kisukari.

Chukua hatua, uamuzi ni wako kusuka au kunyoa.

View attachment 3002692

View attachment 3002694
Huwezi kusingizia chips tu kwa athari mbaya za kiafya!
Wali,ugali,chapati,mikate,andazi,vitumbua,viazi vitamu,mihogi,chai ya maziwa,chai ya rangi,juice na salad za matunda yenye sukari,asali,soda na vinywaji moto kama bia,wine na sprits vyote hivi vina hatari kubwa kwa afya.Unaposema chips ni wanga kama wa wanga mwingine
 
Nimeamua kukwepa ulaji wa vitu vyenye uwezo wa kuniathiri kwa kujenga ukaribu na wanakijiji wa hali ya chini sana ,hivyo juma zima utakuta ni Mimi na mihogo na maji ya Bomba ,Mara ugali wa uwele maana sikati mguu majumbani mwao
Ukosefu wa elimu ndio unakudanganya kuona tofauti ya mihogo na viazi ulaya ama chips.
Hivi vitu havina tofauti kabisa.Vyote shida ni moja
 
😃😃
Ukosefu wa elimu ndio unakudanganya kuona tofauti ya mihogo na viazi ulaya ama chips.
Hivi vitu havina tofauti kabisa.Vyote shida ni moja
😃 Pole yako kwa kuhisi kila kitu serious ,vipi mwenye elimu ya lishe nile nini niishi milele ?
 
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.

Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na vina tendecy ya kukwama kooni.

Mimi sina neno na ulaji wenu, ila ndani ya miaka 10 ijayo tujiandae kuteseka na magonjwa yasiyoambukiza ambayo ni mabaya kushinda yanayoambukiza.

Sababu kuu ni kwamba mijini wengi wetu hatufanyi manual works, tunafanya tu light duties ambazo hazifanyi kuyatumia hayo mafuta tunayoyala kwa wingi. Mwisho wa siku yanakundikana mwilini na kuziba mishipa ya damu, hii inapelekea moyo kupata shida ya kusukuma damu na kuishia kwenye magonjwa kama Presha ya Kupanda na Kisukari.

Kwa sasa ukienda hospitali ya taifa Muhimbili, kwa siku hukosi wagonjwa wapya wa Kiharusi (Stroke) kuanzia 5 na kuendelea. Jiji la Dar miaka 10 kila nyumba itakuwa na atleast mwanafamilia mwenye magonjwa yasiyoambukiza hasa Pressure na Kisukari.

Chukua hatua, uamuzi ni wako kusuka au kunyoa.

View attachment 3002692

View attachment 3002694
Mkuu ulikosa kazi yakufanya mpaka ukaamua kupiga wateja picha na sura zao
 
Ila chips ni tamu, kuna chips zinaandaliwa pale UHONDO TAKE AWAY Mwanza, hawa jamaa.....mbinguni moja kwa moja room yao itakua na ac na chaja ya type c walah bila kusahau free Wi-Fi
Kama vile naanza kuku kumbu kaa...huja mboo?🙂
 
Back
Top Bottom