Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣

Anyway maisha yaendelee.
 
Maisha ya sasa, inabidi tukubali kuwa Haiwezekani kurudi maisha ya zamani.

Na tutafika mbali zaidi, hata viongozi wa nchi watakuwa hawana maadili
 
Kabisa yana uchi uchi ndio umekuwa a new normal
 
Back
Top Bottom