kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kwa hizo, nini gari au nini wewe unavyoziona mkuuNikipita Msigani Primary huwa naona Rav4, Spacio, IST. Kweli walimu wanajitahidi.
Sijaelewa swali lako.Kwa hizo,nini gari au nini wewe unavyoziona mkuu
Ulitaka zipaki gari zipi ?zitajeKwa hizo,nini gari au nini wewe unavyoziona mkuu
Inasemekana walimu ndiyo watumishi wa serikali kuu wanaolipwa mshahara mkubwa.kuna ukweli hapo mkuu?Mazuri sana kwa mshahara huu huu wa tgts C, D, E na F bila posho?
Sema tu wameamua kumiliki magari ila bado hawana maisha mazuri.
Maslahi ya mlinzi wa bandari inampiku headmaster kabisa
Kwa hiyo,mtu akiwa na gari ndo ana maisha mazuri?Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.
Raum,isn't,Noah,starlet ,probox ni tupesa kiduchu tu twa mkopoNimeona pia Minaki Secondary gari kali sana zimepaki
Jmn kulisha gari mafuta Lita Moja 3000+ sio kazi ndogo, kwa kweli ni dalili ya kuwa na maisha mazuriKwa hiyo,mtu akiwa na gari ndo ana maisha mazuri?
Upande wa pili kuna shule ya msingi kanapakigi kastarlet kamoja kama roho,pale Kisauke Sec kweli ni mengi na wengi ni akina mamaNimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.