Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

Mkuu inategemea life stale ya mtu Kuna wafugaji unakuta ana ngombe elfu 3 Hana hata baiskeli kuwa na gari haimaanishi mtu ana maisha mazuri
Maisha mazuri ni yapi? Maana kuwa na ng'ombe wengi huku unateseka sidhani kama ni maisha mazuri.
 
Basi mi5 tena kwa Mazaa...🤔🤔😞
 
Kwa miaka hii ya sasa kuwa na gari ni kitu cha kawaida sana...na magari mengi ni ya mikopo...unajilipua unavuta ndinga...Kuna walimu wapo mbali sana kiuchumi...
Hakuna cha mikopo ni mwendo wa cash on hand usilete wivu hapa
 
Ukute huna hata Passo ya milioni 4
Unafeli sana, halafu nyie wenye hivyo vyombo vyenye mota ndio mnaongoza kuning'iniza funguo hovyo na mna sifa sana. My brother trust me Magari yapo, unachomiliki wewe ni chombo kama vyombo vya kabatini
 
Walimu hawana maisha magumu, nadhani hii taswira mnapaswa kuiacha, tatizo ni mtu mwenyewe ila sio taaluma
Taswira hiyo haiwezi kufutika mpaka maslahi yaboreshwe mkuu.
Kipato hakiendani na uhalisia wa maisha
 
Back
Top Bottom