green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hao wake zetu tumewanunuliaNimeona pia Minaki Secondary gari kali sana zimepaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wake zetu tumewanunuliaNimeona pia Minaki Secondary gari kali sana zimepaki
Wewe ni mwalimu kabisasi tulikubaliana walimu hawana maisha mazuri imekuaje tena mna wasifia..?
wengine mnasema walimu wa kike ndio wanamilik hayo magari ya waume zao... [emoji23] cha ajabu wew mwenyew nyumban kwako umeshindwa kumuachia mkeo hata hela ya nusu kilo ya nyama, mnakula mboga za majan kilasiku kama ng'ombe...
Nyie si mlisoma sociology b/administration psychology h/resources marketing I/relation accounting banking [emoji23] vipi hali zenu huko nyumban kwa waume za dada zenu... Mwsho wa siku unaajiliwa kwenye kibanda cha Airtel Money mtu mzima Degree holder... Pumbav zenu kuweni na exposure ya maisha yajayo, vijana hamna Career Guidance mkifeli maisha mnaanza kuona wivu na maendeleo ya watu
Ndiyo mimi ni mwalimu tena wa chekechea a.k.a vidudu... 😊Wewe ni mwalimu kabisa
Hiyo ikikatwa makato inabaki kama 700k +,hapo ukichukua kamkopo,baki 300k+,.Mkuu vijana wengi sana wa Kitanzania wanadhan walimu ni choka mbaya, wakat uhalisia ukipanga Top 5 ya watumish wa umma waliopo chini ya mkurugenz au wizara, wenye mishahara mikubwa Tanzania basi walimu huwezi kuwakosa... Kwavile walimu wanafanya kazi ktk mazingira yenye changamoto nyingi wanadhani basi walimu choka mbaya na kwasabab wao ni rahisi kuonekana kutokana na uwingi wao kila mtaa lazima kuna mwalimu anaishi...
Hawajui mwalimu akitoka na degree yake chuoni ndani ya miaka 4 kazin kwa mwezi anachukua 1,159,020/=
Mwl wa certificate kwa mwezi akianza kazi anachukua 516,000/= Na mwezi huu Mama Samia kaongeza 23% kuna watu wanapata nyongeza kuanzia 80K hadi 245K
All in all vijana waache waendelee kusomea Mass communication [emoji90] Business Administration [emoji90] Computer science [emoji90] Mining [emoji90] International relation [emoji90] Human resources [emoji90] halafu mkimaliza mje mtaani musaidie kazi kwa waume wa dada zenu [emoji28]
Hiyo ikikatwa makato inabaki kama 700k +,hapo ukichukua kamkopo,baki 300k+,.
Kifupi watumishi waumma wengi ukiacha wakuu wa vitengo na baadhi ya taasisi maisha ni magumu,ni mpk pale mtu ajiongeze kibiashara,..kwa mfano mji kama Dar take home 700k,kutoboa ni ngumu sana, lazima uwe na madeni kwa mangi.
Sawa dada mkubwa maana unanijua kaka yako mdogo.Huna hata uwezo wa kununua bodaboda hapo ulipo
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.
Mukulu vipi ana gari sasa hivi?Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.
Nyuma ya keyboard wanawaponda tena huku watoto wao wanakula,kulala na kuny* bure kwa walimu hao hao kwa jina la uclassmate au ujirani huko kijijini.Mnaosema walimu wenye magari ni wake zenu, hawa wanaume je?!
Mbona mimi nawajua walimu kibao wa kiume wana magari na wanaendesha maisha vizuri tu! tena wengine wana biashara/miradi ambayo inakimbizana na ya watu wa mtaani.
Tena hawa walimu mnaowachukulia poa utakuta ndio wanakaa na watoto wenu kisa mlisoma darasa moja tu.
Ni kweli kaka, asilimia kubwa ya magari huwa ni ya walimu wanawake ambao wengi ni wake wa watumishi wenye nafasi nzuri au wafanyabiashara.Walimu wa kike ndio wanapaki hayo magari.
Ni wake wa ma bosi. Ma engineer, na wafanyabiashara wengi..
Mshahara wake hauna kazi nyumbani ndio maana wanaendesha gari kali.
Kwa Tgs za manispaa ama halmashauri mwalimu anunue gari ya milion 20 ama 30 familia itakula nini? Na mafuta ataweka na nini?
[emoji15][emoji44]Eti umesema "KISA nini!!!..Sema tu KISAUKE sekondari
😅😂 Sasa kutembea kwa miguu unavuja jasho ndio uzalendo..?Kuna watu niwajinga.gari ndo maisha mazuri???
💩💩 tafuta hela kijana hizo fikra umebaki nazo wew pekee, mtu afanye kazi ashindwe kununua gari la kuanzia 12 Million..? Ambapo hata akiingia bank kukopa huo mkopo anaulipa ndani ya miezi 36 (kwa mtumish mwenye daraja la chini la mshahara)Ni kweli kaka, asilimia kubwa ya magari huwa ni ya walimu wanawake ambao wengi ni wake wa watumishi wenye nafasi nzuri au wafanyabiashara.
Nikipita Msigani Primary huwa naona Rav4, Spacio, IST. Kweli walimu wanajitahidi.
Hadi MichungwaniEwaaa, mkuu kumbe unapita hapo? Utakuwa sio mgeni wa Zone, Kwa makaranga, Kwa bonge hadi Njeteni weye!!