kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 506
- 719
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.
Za walimu wa kike hizo. Unakuta mke mwalimu baba Mkurugenzi bandarini, walimu wa kiume ni dhoofu mpk soli za viatu zimepinda