Siku hizi sina hamu ya kutongoza wanawake kabisa, kuna wanaume humu ambao washapitia hii stage?

Siku hizi sina hamu ya kutongoza wanawake kabisa, kuna wanaume humu ambao washapitia hii stage?

Kazi au kibarua cha kwanza kwa mwanaume alichopewa na muumbaji wake ni kutongoza na kuchakata mbususu..

Sasa nyie jitieni ujuaji eti nasubiri kutongozwa na mwanamke utafikiri siiifa kumbe ujinga,ngoja zihamie matakoni uje tamani kutongozwa na wajuba
 
Tafuta hela hyo ni moja ya dalili ya kukosa hela.
 
Mm ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nlikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nlipima hiv Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo yote niliofanya hapo juu, zaidi ya kujiweka kwenye risk ya kupata ukimwi.

Cha kushangaza naona kuna wanaume wengine wana miaka 36, hadi 70 wanatongoza ovyo na Kufanya ngono hovyo na wadada tofauti, kama vile wamebalehe jana.

Mm ni Mwanaume 100% straight, rijali, kiafya niko fresh, ila sahiv love interest na wanawake sina kabisaa, kununua makahaba nimeacha zamani, Sahivi mpaka nimtongoze mdada ni mpaka awe amenivutia sana vinginevyo nampotezea, ata akija ghetto akikaa uchi mbele yangu au akijitongozesha namkataa tu.

Hili ni badiliko la tabia? Au nayo ni steji tu
Umekua itabid tukuozeshe kwa li jimama upate raha za dunia
 
Back
Top Bottom