Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Jamani UTI haiambukizi kwa ngono na sio ugonjwa wa zinaa [emoji849]
Naona watu sasa hivi wanasema ohh ameambukizwa UTI sugu.

Sema umeambukizwa ugonjwa wa Zinaa ambayo ni Kasendwe , Kisosono, Pangusa , VVU na mengine kama Herpes
Boraa usemee wee. Maana watu washaanza kusema uongo uongo.
 
Ila watanzania duuh !!!. Mmeshindwa hata kugoogle.


UTIs are not contagious, so you can't catch a urinary tract infection from someone else.

Tumeeleza na kueleza lakini bado wanakaza mafuvu tu.
🤣🤣🤣🤣Bado ujasema ,na mtasema
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dodoma tunaishi nao tu hvohvo
 
Mkiwa na uhakika wa afya zenu kabla mtaenjoy sana kinyume na hapo tahadhari zitakuwa nyingi hadi zinaharibu ladha ya tendo lenyewe
Kwa hali ilivyo mtaani, nashauri suala la matumizi ya Condom lipewe kipaumbele.

Huwezi kumtambua kwa macho.
 
Kwa hali ilivyo mtaani, nashauri suala la matumizi ya Condom lipewe kipaumbele.

Huwezi kumtambua kwa macho.
Binafsi ndom siziwezi, inabidi niachane na ngono kabisa, japo nashukuru sijawahi kupata ugonjwa wa zinaa hata mara moja, ila tunapoelekea inaweza kuleta shida.
 
UTI hata utumie condoms bro unaupata ule ugonjwa hauhitaji mchubuko wala nini. Laiti Ukimwi ungekua unasambaa kama UTI tungekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…