Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

Huyo swine ni haramu pia anamagonjwa kibao na ni mtamu kwa kweli,tunaharalisha tuu!
 
WANAJITESA BURE TU NA NDUGU ZAO WASABATO YESU KRISTO ALISHATAKASA VYAKULA VYOTE ILA WAO WANAVIITA NAJISI AFU WANAKULA KWA SIRI.
Wakristo huwa mnanishangaza ,huwa mnasema mungu wenu wa israel, sasa wa israel mungu wao kawakataza kula kiti moto, na wanakula halal foods kama waislamu wao wanaita kosher, sasa huoni hapo mungu wenu sio wa waisrael?
 
Nimeyaona maandishi yako hayaendani na ulichowndikq ndiyo maana nikakuuliza.

Kuna uwezekano umelitumia hilo neno sivyo.

Kama binadam, Mwongozo wetu ni Qur'an, kitabu kisicho na shaka.

Siyo kufata mawazo yetu.
Hata Biblia yetu ,ambao ni mwongozo wetu Wakristo!Swine amekatazwa ni Haram (Kumbukumbuku la torati 11)
 
Uliyosema kwa asilimia kubwa ni sahihi,lkn si kila mwenye kufanya dhambi ni kafiri,muislamu anaweza kuwa na mapungufu na kufanya dhambi lkn hajapinga uwepo wa Mungu mmoja

Kwahiyo si busara kumkufurisha muislamu kwa dhambi zake,bali alinganiwe awe mfuasi kamili wa imani na matendo
 
Ili uwe muislam unatakiwa ufate mafundiso ya uislam usipofata moja kwa moja umejitoa kwenye uislam kwahiyo kama wanakula tayari wamejitoa katika uislam.
Boss
Tuwe makini sana kauli zetu,dhambi hazi mtoi mtu katika uislamu ila hadi akufuru kwa kumpinga Allah na mafundisho aliyokuja nayo mtume

Haya mengine ni madhambi miongoni mwa madhambi ambayo anafanya mtu
 
Acha kuharibu hesabu zetu huy mdudu mtamu aseee ukute aliechinjwa n aina ya DUROC mchek hapo kwa profile huy hana sifa ya mafuta meng n kiduch sanaa ila stake n zakutosha n bleed flan hiv yenye akil sanaaa ACHA NIKUPE MBINU NYINGINE ZA KIVITA ili ujue huy mwamba ana kazi nyingi tuuu hapa mjin nguruwe anae nyonyesha sahiv n dill sanaaa hasa kwa mazingira nayoish MKAMUE MAZIWA KIDUCHU KA KIJIKO KIMOJA changanya kwenye pombe anayoipenda huyu mlevi wetu anayetamani kuacha pombe ila kila siku anashindwa kuacha ATAKUSHUKURU miaka 1000,,,
 
Sio vijana tu mkuu. Hata mashehe wanakula mdudu, tena hadharani bila kificho chichote.
 
Kumbe maziwa ya mdudu ni dawa kwa waraibu wa pombe? Asante kwa kunifumbua macho mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…