Siku kadhaa kupita bila majibu baada ya TelAviv kudundwa na ballistic kutoka Yemen kuna ujumbe mzito.

Majibu ya Israel yatakuja tu, hata Houthi wanatambua hilo.
 
kweli ugaidi hauna dawa?
kwann magaidi wote wasiuwawe
kichaa cha dini hakina tiba ni kama rabies
 
Majibu ya Israel yatakuja tu, hata Houthi wanatambua hilo.
Inajulikana watajibu isipokuwa majibu yao siku hizi ni ya kunyatia nyatia sio kama hapo zamani
 
Kwa tulivyotangaziwa kuhusu Israel majibu hayo ni woga mkubwa.Wanashindwa kuingia mipakani na kupigana ana kwa ana na Hizbullah
Kwani ni lazima iwe hivyo unavyowaza wewe nimekuuliza tangu mwanzo?Akili yako imeganda ndiyo maana unarudiarudia yaleyale.
 
Kwani ni lazima iwe hivyo unavyowaza wewe nimekuuliza tangu mwanzo?Akili yako imeganda ndiyo maana unarudiarudia yaleyale.
Akili mgando ni yako.Unashindwa kuona jinsi mzozo wa Gaza unavyowapagaisha mayahudi.
hakuna tena kulenga maadui ni kupiga tu mpaka watoto
 
Kwanini israel ikiwapiga magaidi wa kidini mnapenda kutumia neno watoto wameuawa ili dunia iwahurumie
Waarabu na jamii inayofanana nao hizo ndizo tabia zao kujidekeza na usaniisanii.Tazama hata kwenye mechi za mpira wa miguu:Kulalamika bila sababu,kujiangushaangusha na kutaka wapendelewe tu kila eneo.
 
Kwanini israel ikiwapiga magaidi wa kidini mnapenda kutumia neno watoto wameuawa ili dunia iwahurumie
Bila kusema watu wanaona isipokuwa vipofu kama wewe.Wanaouliwa wengi ni watoto na tunaona wamebebwa na wazazi na wakokozi wao.
 
Waarabu na jamii inayofanana nao hizo ndizo tabia zao kujidekeza na usaniisanii.Tazama hata kwenye mechi za mpira wa miguu:Kulalamika bila sababu,kujiangushaangusha na kutaka wapendelewe tu kila eneo.
Wanaojidekeza hakuna kama mayahudi mpaka wametunga hadithi za uongo za Holocast.Eti waliouliwa milioni 10.
Hata waliokuwa wanawaonea huruma wameanza kubadilika ndio maana unaona maandamano makubwa mpaka New York na London
 
Mimi naandika uhalisia,wewe unaandika viporojo vyako vikupooze uchungu.Kuna tofauti hapo kati ya kichwa chema na boga la futari.
 
Hizo silaha ni hatari nchi nyingi wanajizuia sana kuzitumia. We jiulize kwa nini Iran hajarusha makombora kama hayo?
 
Hizo silaha ni hatari nchi nyingi wanajizuia sana kuzitumia. We jiulize kwa nini Iran hajarusha makombora kama hayo?
Unakusudia hypersonic kwa vile mara nyingi inafika ilipokusudiwa hivyo kuweza kuzusha vita vikali zaidi.
Lakini Houth hawakuogopa hili na Israel mpaka sasa imehofu kujibu kichwa kichwa.
 
Unakusudia hypersonic kwa vile mara nyingi inafika ilipokusudiwa hivyo kuweza kuzusha vita vikali zaidi.
Lakini Houth hawakuogopa hili na Israel mpaka sasa imehofu kujibu kichwa kichwa.
Houth ni kundi la waasi
 
Vita ni mipango vita ni intellinjesia vita sio kukurupuka kama wale jamaa wa PGO wakiamka asbhi wanakuambia Kuna harufu ya vurugu kwenye maandamano ya Chadema.
 
Kwani hiyo israel bado inaendelea tu kupambana na vijinchi visivyo na teknolojia imekaaje hiyo ni kwamba israel ni dhaifu katika jeshi ikibidi wapigwe mpaka wafutike ulimwenguni israeli ni magaidi kama walivyo america!
MBWA MPAKA MWISHO WA ULIMWENGU NYIE MTAFUTIKA ISRAEL ITABAKI PALE PALE ALISHINDWA FIRAUNI NDO UJE WEWE UIFUTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…