Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali.

Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira.

Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani.

Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au kukudharau kisa hauendani na matakwa ya fast life (pub, klabu, etc)

Hakuna aliekuwa anajali au kuwa impressed aina ya gari unayotembelea.

Hakuna aliekuwa anajali juhudi zako katika kupost chochote humu JF

MUDA NI HUU, FANYA CHOCHOTE KATIKA UHALALI NA HAKI BILA YA KUJALI MIHEMUKO YA WATU ILI UNUSURIKE NA MAJUTO MBELENI HUKO.
 
18-40-60 RULE......Dr.Daniel Amen
 
Eeh Kuna mtu humu Alikuwa anasifia gari lake linavyokimbia barabarani na kutaja magari aliyokuwa anayapita, kumbe hao wengine hata hawajui kwamba wako na mwamba,mashindanoni!
 
Back
Top Bottom