Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

Mtu anaoa,unashangaa hayo magharama anayoingia Eti kisa tu ashtue watu Roho zao....asichokijua ni kwamba baada ya harusi hakuna hta anaewazia tena Hilo tukio,umebaki wewe na madeni uliyoavaa kufurahisha watu
Hakika mkuu

Mtu anafanya yote haya kujimwambafai kwa ajili ya msongo ambao unakuja baadae kwake

Hapo bado huyo mwamamke hajaanza kumsumbua, etc
 
Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali.

Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira.

Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani.

Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au kukudharau kisa hauendani na matakwa ya fast life (pub, klabu, etc)

Hakuna aliekuwa anajali au kuwa impressed aina ya gari unayotembelea.

Hakuna aliekuwa anajali juhudi zako katika kupost chochote humu JF

MUDA NI HUU, FANYA CHOCHOTE KATIKA UHALALI NA HAKI BILA YA KUJALI MIHEMUKO YA WATU ILI UNUSURIKE NA MAJUTO MBELENI HUKO.
Inachukua muda mno mpaka kuja kufikia hatua hii ya ufahamu.
Hapa unakuta ujana na utoto umeisha kabisa wew ni mtu mzima na akili zimekuja unajua kuwa hakuna anayekujali Ila ww pekee ujijali
 
Hakika, lakini sisi ni master wa akili zetu, kama tukipata inspiration ya watu positive kutuambia haya mapema na wewe pia ukawa open basi unaweza kubadirisha maish yako.

Kama hivi tunavyokumbushana hapa.

View: https://youtube.com/shorts/vG3B5BaxZXs?si=FNRglmpVt3sBLHuy
 
Imeniuma sana 😅huwa naogopa kumalizia supu hotelini, nitaonekana, mlafi kwo unanishauri niwe, namaliza hadi Funda la mwisho la mchuzi wa supu
 
Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali.

Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira.

Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani.

Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au kukudharau kisa hauendani na matakwa ya fast life (pub, klabu, etc)

Hakuna aliekuwa anajali au kuwa impressed aina ya gari unayotembelea.

Hakuna aliekuwa anajali juhudi zako katika kupost chochote humu JF

MUDA NI HUU, FANYA CHOCHOTE KATIKA UHALALI NA HAKI BILA YA KUJALI MIHEMUKO YA WATU ILI UNUSURIKE NA MAJUTO MBELENI HUKO.
Umenena vyema mkuu.
 
Back
Top Bottom