Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali.
Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira.
Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani.
Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au kukudharau kisa hauendani na matakwa ya fast life (pub, klabu, etc)
Hakuna aliekuwa anajali au kuwa impressed aina ya gari unayotembelea.
Hakuna aliekuwa anajali juhudi zako katika kupost chochote humu JF
MUDA NI HUU, FANYA CHOCHOTE KATIKA UHALALI NA HAKI BILA YA KUJALI MIHEMUKO YA WATU ILI UNUSURIKE NA MAJUTO MBELENI HUKO.