Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

IMG_5234.jpeg
 
Basi inaendelea wakuu!

Baada ya kukuta hiyo message ya daktari D nilipanick Ila nikajiambia tulia nijue picha ili litaishia wapi

"uzuri Ile message ilikuwa ishafunguliwa" kwahiyo hakusanuka nikabunda kimya

Uzuri alikua ananiamini kwamba siwezi kushika simu yake, japo password naijua siku moja akajisahau akaiacha charge, ikabidi nichukue kuingia nikapekua nikakutana
Na lile Jina daktari "D",
Kusoma message zao wanahaidiana wataoana na mambo kemkem, miamala kadhaa aloyotumia normal text, jamaa anamsfia manzi "una mambo matamu🥶" kilichoniuma yule jamaa ni father kwangu, nikawaza Huyu mdingi tunashea uwazi/utupu mmoja🤔

Sijakaa Sawa naona Jina jingine 'afisa T " kumbe alikuwa na bwana mwingine ni afisa kitengo fulani serikalini yule bwana alijua niko nae Ila akawa anamwambia, achana na huyo kijana, anakupa nini hana fedha anabangaiza jamaa kumbe na mtaji alimuongezea na anamwambia si unaona" nimekuongezea hadi mtaji biashara inaenda fresh "


" kwa mujibu wa zile message yeye na Afisa T" huwa anampiga demu akifunga duka anapita kwa mwamba wanakamuana ndo anakuja maskani


Feeling zilikata kabisa akawa akitaka game, namwambia "Tulia nimechoka sana si unajua biashara zetu za kufanya delivery "

Nikajipa moyo konde Napanga tukio la kumfanya ili iwe funzo, kwake...

Nikaja kubaini kwa simu ndogo pia, alimsave jamaa mmoja kwa Jina la "fred hardware " mwanangu oya jamaa Ana maduka matatu ya hardware kufatilia ni jirani yake 'huko karibu na frame yake


Demu walichatishana na Fred hardware anasema"Asante kwa shopping unajua sana kuchagua nguo zimenipendeza na chupi Zina rangi nzuri"

Fred hardware nae anajbu "nilikua na wasiwasi kwamba chupi zisingetosha makalio yako" dah

Demu anamwambia "Asante nakupenda sana fred Sina mwingine zaidi yako "Fred hardware"😅Dah Kmmke kumbe tupo wanne jumla tiyari

Nilitamani muda urudi nyuma, nikasema hii tabia ya kusema sichunguzi simu imenifundisha kitu kikubwa

Sijakaa Sawa simu ikaita, Jina limeseviwa cashier, kupokea
Haloo mambo vipi, poa wewe nani!

Mwenye simu yuko wapi? Wewe unapokea kama nani! 🤔Nikamwambia mimi bwana ake na miaka miwili naishi nae🤔jamaa katoa tusi Dah nikapanick nikarudisha na mimi, mwamba akakata simu Baada ya muda kapiga ni kapokea tena, mara hii hakutukana akawa mpole

Ikabidi tuzungumze kiume, jamaa akawa analalamika kwamba kampa hela nyingi sana na alikua na mpango wa kumuoa...


Hapo ndio nikaamini ule msemo kwamba "tumbo ndio hupumua Ila makalio yanatumika kama spika tu" 🥶
Itaendelea...









,
Mwanetu ya kwl haya unayotuambia
 
Back
Top Bottom