Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Na Bado...
Screenshot_20250115-170714.jpg
 
Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi,

Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla)

Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise mambo yatakaa Sawa Sawa, anivumilie akawa anakibali tu, sometimes biashara yangu inadorola namwambia akiomba hela namwambia sina anavumilia hadi nikipata

👉Sasa picha linaanza nikaona kaanza kubadilika haniombi tena hela,nikawa Napita pale dukani nakuta wateja wengi nikahisi labda biashara yake inalipa maana alianza kupendeza sana

Siku moja, uvumilivu ukanishinda ikabidi Nimuulize mbona unapendeza sana, na huniombi hela kama zamani akajibu "B" biashara imekubali nikasema basi ni jambo jema.

Basi kuna msemo watu wanasemaga 'ipo siku utasahau kufuta message na utashikwa"🥶


Siku moja nikamuomba simu yake, nimulikie uvunguni niliangusha laini kwa bahati mbaya nikaclick moja kwa moja WhatsApp "nikakutana na message inasomeka" - "Ata kama upo kwenye danger zone Usijali nitamwaga nje wewe njoo NYUMBANI" 🥶moyo ulipasuka pale pale Jina limeseviwa " daktari D"
......


Itaendelea
..wewe ni newly recruited lover, hao wengine umewakuta, nadhani si mbaya, labda hatari ni moja tu, collabo ya kuambukizana VVU tu!
 
Ngojeni mchapiwe, Mwanamke mwenye pesa yake au anayetafta kama wewe ni mwanaume mwenzako, akuhifadhie wewe tu kwa kipi na wenye pesa wanaitaka papuchi na yeye pesa anaitaka? Yaan asubir ujipate na awaache waliojipata kwa kipi? Wekeni akili sawa wanaume, kama hujajipata usimvundike ataliwa na wenzie.
 
Kuepuka sharing mwanamke hasa zama hizi ni mtihani, lazima wahuni wakiona asali waionje hata kama wanajua watang'atwa na nyuki
 
Back
Top Bottom