BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Na ww tafuta mnyonge ummegee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww tafuta mnyonge ummegee
Kumbe kumwagia chini ipo toka zama za mawe🤣
Vipi mkuu kipi kimekuchekeshaMamamae😅
Eti nivumilie najitafuta 😅😅😅😅sio rahisi kiivyo jamani 😅😅😅Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi,
Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla)
Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise mambo yatakaa Sawa Sawa, anivumilie akawa anakibali tu, sometimes biashara yangu inadorola namwambia akiomba hela namwambia sina anavumilia hadi nikipata
👉Sasa picha linaanza nikaona kaanza kubadilika haniombi tena hela,nikawa Napita pale dukani nakuta wateja wengi nikahisi labda biashara yake inalipa maana alianza kupendeza sana
Siku moja, uvumilivu ukanishinda ikabidi Nimuulize mbona unapendeza sana, na huniombi hela kama zamani akajibu "B" biashara imekubali nikasema basi ni jambo jema.
Basi kuna msemo watu wanasemaga 'ipo siku utasahau kufuta message na utashikwa"🥶
Siku moja nikamuomba simu yake, nimulikie uvunguni niliangusha laini kwa bahati mbaya nikaclick moja kwa moja WhatsApp "nikakutana na message inasomeka" - "Ata kama upo kwenye danger zone Usijali nitamwaga nje wewe njoo NYUMBANI" 🥶moyo ulipasuka pale pale Jina limeseviwa " daktari D"
......
Itaendelea
Kwa hiyo alikuwa anat*MBA bure kabisa kujifurahisha wakati nduguye anatarajia usaidizi...!!!Anaitwa Onani, alikua anatakiwa kumkula Tamar ambae ni mke wa nduguye ye akamwaga nje ili nduguye asipate watoto... Mungu hakupenda akamuua Onani.
Baada ya kufika mwishoni ndio nimegundua kuwa hii ni chaiSasa inaendelea ilipoishia....
wakuu mimi na huyo cashier tukabonga mengi kwenye phone! Mchizi akasema Ebu jumapili(si unajua tena wafanyakazi wa benki mkuu free hadi weekend) tukapanga mchana tutakutana baa fulani hivi Tujadili vizuri adhabu ya kumpa Huyu demu!🥶Make wote tulichezewa prank
Tukaona haina haja ya kugombana sisi wanaume! Wakati hatujamkuta bikra
Jumapili ilipo fika nikachukua wanangu wanne nikawambia wanangu wanisindikize mazingira hayo ili Ata kama Litatokea lolote tutajua pa kuanzia maana si unajua ni stranger simjui hanijui
kweli tulipofika pale Niliwambia wanangu wakae pembeni wapige bapa kubwa moja(Konyagi)Ila wakae meza ya pembeni wajifanye kama hawanijui
Kumuona cashier ni mwamba tu wa kawaida kisaikolojia nikaona Huyu hafurukuti ni ngumu Tatu za kidevu(upper cut) anakaa kwa kutulia
Nikakaa na "cashier" pale tu kapiga story huku tunagusa ngano(mimi napendelea safari larger wazee) miksa roast la mbuzi dodoma
Basi wakuu mchizi akanambia ety demu alimwambia cashier "yeye ni mwanaume wa pili toka demu azaliwe" 😅nilicheka kifala hiyo siku "Ata kama mtu amekucheat mzee" sio kwa huo uongo
Kwa kweli tukafikia muafaka mi na mwamba "cashier" ,wa adhabu "nikatoa suggestion itabidi Huyu demu tumtoe marinda nilikuwa na jazba sana moyoni nilikua na jazba na yule" Afisa T" nikawa Nishaenda kwa wahuni kununua acid nije nimumwagie usoni akikatiza mitaa yetu
, Fred hardware sikuwa na Tatzo nae coz yeye pia alidanganywa kama "cashier" Kuna message moja alitumiwa Fred hardware nimeikumbuka "'ety Fredih siku tukiachana nitaishije jamani ujue wewe ni mwanaume wa kipekee sana Yani siwezi kusex na mwanaume yoyote zaidi yako"jamaa linavimba kichwa tu🤣Yan unasoma meseji badala ya kununa unajikuta unapasuka mbavu
Basi tukapanga Mikakati itabidi cashier amuite demu wiki mbili mbele baadae , wakutane lodge ambayo haina CCTV camera ambayo Ina utulivu na sound proof nzuri basi akasaka akapata, basi siku ya siku wakapanga appoitment mwamba akanitonya moja kwa moja nikaenda pale hadi chumba Namba "mia na bee," nafungua mlango demu huyo ariruka juu ya kitanda yupo kwenye chupi tu wazee....
Huwezi amini, demu aliishiwa nguvu akaanza kutetemeka sana, jamaa naye kabadilika pale pale akamwambia najua Kila na unamjua jamaa Leo utaisoma Namba
Demu akaniambia " B" sikutegemea , pembeni kumsukuma pale alipokua tiyari kashajikojolea na kashajinyea ndani ya chupi🥶... Nikamwambia mwamba "Oya mbona kama demu tank lake mav* limetoboka kashaachia ndizi mbivu chini (Yani kashajisaidia haja kubwa)
(watu wa afya mtanisaidia hivi kwanini🤔 kwenye jambo la hatari watu huwa wanajinyea maybe mwizi anataka kupigwa, au mtu kakwosa na gari )
Nahisi ni ule uoga.." akasema "B" ni tamaa za fedha tu zimeniponza" B"naomba msinidhuru jamani baba zangu huku amepiga magoti, huku anatuomba msamaha,.. 🙏. Tukacheka 🤣kwo kumbe sisi Leo ni baba zako.. Alilia machozi wazee mpaka huruma...
Baada ya kufika mwishoni ndio nimegundua kuwa hii ni chai
Poole ila nadhan ukweli ni huu kama huna uwezo wa kumhudumia mwanamke Bora uache ujipange kwanza sab usipomhudumia atahumiwa na wengine sas atavhmilia shida had Lin my wanguTulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi,
Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla)
Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise mambo yatakaa Sawa Sawa, anivumilie akawa anakibali tu, sometimes biashara yangu inadorola namwambia akiomba hela namwambia sina anavumilia hadi nikipata
👉Sasa picha linaanza nikaona kaanza kubadilika haniombi tena hela,nikawa Napita pale dukani nakuta wateja wengi nikahisi labda biashara yake inalipa maana alianza kupendeza sana
Siku moja, uvumilivu ukanishinda ikabidi Nimuulize mbona unapendeza sana, na huniombi hela kama zamani akajibu "B" biashara imekubali nikasema basi ni jambo jema.
Basi kuna msemo watu wanasemaga 'ipo siku utasahau kufuta message na utashikwa"🥶
Siku moja nikamuomba simu yake, nimulikie uvunguni niliangusha laini kwa bahati mbaya nikaclick moja kwa moja WhatsApp "nikakutana na message inasomeka" - "Ata kama upo kwenye danger zone Usijali nitamwaga nje wewe njoo NYUMBANI" 🥶moyo ulipasuka pale pale Jina limeseviwa " daktari D"
......
Itaendelea
Cashier ndo wa mwisho....Mkuu kuna DAKTARI D'' AFISAAA T'' alafu huy FREDI wa HARDWARE ila huyu noma sanaaa et alihis zile chup zisinge mto....ina MAANA makalio ya shem daaaah noma sanaaaa na huy wa mwisho jina lake sasa m sikuach acha nisikilizie
Sasa nitaishi single mpaka liniPoole ila nadhan ukweli ni huu kama huna uwezo wa kumhudumia mwanamke Bora uache ujipange kwanza sab usipomhudumia atahumiwa na wengine sas atavhmilia shida had Lin my wangu
Kutunza familia gani??Ndo maana mnaambiwa kabla ya kuoa jipange kutunza familia lasivyo utagongewa mpaka ukome
Mpak upate maokoto otherwise kizuri kula na wenzio, ata naivyo sharing is caringSasa nitaishi single mpaka lini
Wanaume tupo. Watano kwa demu mmoja🤔Mpak upate maokoto otherwise kizuri kula na wenzio, ata naivyo sharing is caring
Amina na hamjuani raha tupu,Wanaume tupo. Watano kwa demu mmoja🤔
Ndio uyafanyo siyoAmina na hamjuani raha tupu,
Pumbafu wewe peleka hadith zako uko facebookTulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi,