Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Basi wakuu sehemu ya mwisho....

Tumeishia pale binti alitoa machozi..
Basi alilia sana, basi hatukuona tena haja ya kumfanya kitu kibaya.. Tukamuacha.

Moja kwa moja nilienda zangu gheto Nikaita kirikuu nikapack mizigo yangu yote, nikaacha ya kwangu nikaenda kuishi sehemu nyingine kama siku mbili nikasaka gheto jingine nikaendelea na maisha mengine

Basi, alipiga sana, wala sikua na time nae,

👉Lakini nilijfunza "hapa duniani mwanadamu anaweza acha kitu au mtu akasiliti anayempenda kwa sababu ya pesa lakini sio rahisi mtu akaacha pesa kwa ajili ya mtu anayempenda"

Nilipima, nikawa safe, lakini mpaka Leo. Miaka 8 sijaweza kudumu tena kwenye mahusiano zaidi ya kudunga na kuachia wengine wadunge🙏
Dunga ila umakin mkuu umeme upo na bei ya kuunganishwa ni pesa kidgo tu
 
Sijapata mkuu mtu sahihi maana Ata salio bado la kuunga kuunga linatosha kwa "msimamo wa usiku mmoja(one night stand) "
Mkuu salio litapatikana tu akitokea wakukuvumilia na mashida zako ishi nae
 
Alooo unataka ule peke yako halafu akikuomba pesa unampanga ? Ngumu sana mkuu wanawake wana tamaa, tafuta wa size yako akubali maisha yako na hali yako kwa ujumla,,,, vinginevyo utagongewa tu,,,,Dunia haina huruma
 
Dah mi nafikiri hakuna binadamu asiye na tamaa
Alooo unataka ule peke yako halafu akikuomba pesa unampanga ? Ngumu sana mkuu wanawake wana tamaa, tafuta wa size yako akubali maisha yako na hali yako kwa ujumla,,,, vinginevyo utagongewa tu,,,,Dunia haina huruma
 
Mimi hua naona namna nzuri ya kuishi na mwanamke ni kumpuuza tu yani hakuna kumzingatia kwa 100%. Maisha ya kisasa vitu vingi vinapatikana kwa urahisi, tupeane nafasi ila tuchukue tahadhari maana kuishi kwenye usahihi haiwezekani tena.
 
Back
Top Bottom