Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Mimi hua naona namna nzuri ya kuishi na mwanamke ni kumpuuza tu yani hakuna kumzingatia kwa 100%. Maisha ya kisasa vitu vingi vinapatikana kwa urahisi, tupeane nafasi ila tuchukue tahadhari maana kuishi kwenye usahihi haiwezekani tena.
Yani unaweza mtu kwa mwonekano. Wa nje lakini ya ndani yakaja kukushangaza
 
Pole kaka ,yakupasa uachane nae kabla hujaja kuua ukaishie kukaa kwenye stoo Hela,jali utu wako tafuta mtu mnaweza kuendana
 
Pole sana mkuu
 
Kumwaga nje ni ushetani, hata kwenye biblia kuna yule jamaa aliombwa amzalishe mke wa ndugu yake, ila kwa roho yake mbaya hakutaka ndugu yake apate watoto, akawa anamwaga nje. Nasikia alilaaniwa
Huyo jamaa sio alilaaniwa bali aliuliwa na BWANA na jina lake aliitwa ONANI

Mwanzo 38:9
 
Mimi kama sihudumia kwa kiwango kinachofaa,nikiona tu nachitiwa najiweka pembeni kama sipo maana najua chanzo cha yote ni mimi,hivyo nawaachia wenye kisu kikali waendeleze gurudumu
 
Ndoa ni utapeli, ukome sasa
 
Lakini nilijfunza "hapa duniani mwanadamu anaweza acha kitu au mtu akasiliti anayempenda kwa sababu ya pesa lakini sio rahisi mtu akaacha pesa kwa ajili ya mtu anayempenda"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…