Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga.

Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado naogopa kurudia makosa. Akili zikanituma nitumie dawa za kuongeza nguvu niwe fiti. Nikanunua dawa inaitwa Vega nikaificha bafuni. Tukapigana romance pale baadae kidogo nikaenda bafuni nikaipiga

Mashine ilisimama isivyo kawaida goli la kwanza nikakojoa baada ya nusu saa. Lakini wakati tunaendelea kichwa kikawa kinauma balaa, sina raha kabisa pale kitandani. Naona moyo unaenda mbio. Nashindwa nichukue tahadhari gani kwa sababu nilijinywea tu vega bila kupata ushauri wowote.

Baadae kidogo mashine hiyo nyuzi 360. Demu anaenjoy tu anakula mti wa uhakika. Lakini ndugu yake mawazo kibao labda nitakufa miye. Basi nikamuacha aikalie ajipimie mwenyewe. Mimi nimetulia tu.

Toka hapo nikaamua kufuata njia sahihi za kujiweka fiti. Piga sana tizi na kula vizuri. Hata yule aliyeniambia nina show mbovu akanishangaa sana nimekuwaje mtamu. Mpaka tukaoana tukawa mke na mme.

Sikukomaaaaa
Mara ya pili mwaka 2017 nikasafiri na dada mmoja. Yule dada alikuwa ni yale madude msambwanda wa maana. Dude kubwa limejazia ugali kidogo nyama nyingi. Katika mastori yule dada akaniambia bwana wake hamridhishi kabisa. Ana mwaka hajakojozwa. Kipindi hicho tayari ni mwana Jamiiforums. Nikaona hapa inabidi niiwakilishe Jamiiforums vizuri. Lakini je nina pumzi ya kula huu mzigo?!

Basi nikaamua nitafute mkongo labda hauna shida. Nikaunua jamaa akaniambia nipake nusu saa kabla ya show. Yule manzi nikawa naye nje tukala stori, kula misosi na kunywa vinjwaji mbalimbali. Mida ya kuiwakilisha Jamiiforums ilipokalibia nikachomoka kwenda kupaka mkongo. Nikapata halafu nikarudi nje kusubiri matokeo.

Show ilipoanza mashine ikawa kama imekufa ganzi. Imesimama moja kwa moja. Nikapiga sana tako lakini sikojoi. Mtoto ananiambia baby nimechoka basi kojoa-waapi. Mwili ukawa umechoka nikashuka jukwaani nikiwa sina raha.

My Take
Busta ni hatari sana unaweza kufa kitandani. Dont try

 
Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudhalauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia y
Miaka ya 2000 una maanisha kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani?

Nataka kufahamu kama kipindi hicho simu zilikuwepo
 
Hii kitu Kuna jamaa yangu ilimuondoa kizembe sana

Waliuza nyumba ya urithi mwanza 120M+ wakagawana z jamaa akakunja zaidi ya 55M ukiondoa ujinga wa madalali na legal fees+wapambe

Siku iyo iyo wenge halijamtoka akapiga pombe Kali kwenda mbele afu alikua na lishangazi Lina Tako balaa kalifukuzia sana bila mafanikio, basi bana Kama mjuavyo mademu wa mjini wananusa pesa basi lishangazi likamcheki Leo njoo mzigo nakupa

Jamaa akaogopa kuuza mechi akaenda bugia vegan za kutosha, aisee jamaa aliondoka siku iyo iyo, alimueleza jamaa yetu mmoja baada ya Kuona Hali inakua mbaya


Mtu una 55M ndo imeingia fresh money, bado una hangaika kulifurahisha lishangazi ambalo lishadanga sana mjini, STUPID!!! Anyway rip mwanangu victor!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…