To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤒Kabisaaaaa na sifaa anamwagiwa kama kaua simba 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤒Kabisaaaaa na sifaa anamwagiwa kama kaua simba 😂😂😂😂
Kwan wanataka vyote?Acha tu mkuu....acha tu
Da Hadi huruma Mzee, mi nilichojifunza kwenye mwili wangu nikiona kitu Fulani nakiwaza Sana mwili nao unasense unashangaa Moyo unauma akili inakuwa depressed nikiacha kuwaza nakuanza kuwaza positive Hadi akili yangu inatambua inafurahi Hadi Moyo unafurahi.Hii kitu Kuna jamaa yangu ilimuondoa kizembe sana
Waliuza nyumba ya urithi mwanza 120M+ wakagawana z jamaa akakunja zaidi ya 55M ukiondoa ujinga wa madalali na legal fees+wapambe
Siku iyo iyo wenge halijamtoka akapiga pombe Kali kwenda mbele afu alikua na lishangazi Lina Tako balaa kalifukuzia sana bila mafanikio, basi bana Kama mjuavyo mademu wa mjini wananusa pesa basi lishangazi likamcheki Leo njoo mzigo nakupa
Jamaa akaogopa kuuza mechi akaenda bugia vegan za kutosha, aisee jamaa aliondoka siku iyo iyo, alimueleza jamaa yetu mmoja baada ya Kuona Hali inakua mbaya
Mtu una 55M ndo imeingia fresh money, bado una hangaika kulifurahisha lishangazi ambalo lishadanga sana mjini, STUPID!!! Anyway rip mwanangu victor!!!
Lazima wapo ambao wanataka vyote...Kwan wanataka vyote?
Yeah sureLazima wapo ambao wanataka vyote...
Ni kweli ila mada kuu sio kugongewaMatajiri wengi wanagongewa wake zao na vijana ambao hawana chochote mbona?
Wanaocheki pono kwa sana...Yeah sure
[emoji23][emoji23]Hilo lipo sana, kijana akishakua Hana pesa anakua na roho ngumu sana yupo radhi kunyonya mku*** hata lisaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81]nli wahi jarbu o level kwa pisi ilkua kalii ,sasa ile hofu ya kuogopa kuja kutangazwa hostel niki zingua ,, siku ya tukio nme toka kifuani taizi nahisi kizunguzungu na moyo una enda mbioo dem ana niuliza vipi nikaenda bafuni nasikia mwagwi kama mababu wana niita wana niijia na baiskeli ya kupaaa
NB
USIWAHI JARIBU AYA MA VITU
Ni kweli ila mada kuu sio kugongewa
Hawaeleweki hawa mkuuNini tena hii mbona sikuelewi[emoji23]
Jamaa umenichekesha sana haaa haaa[emoji81][emoji81]nli wahi jarbu o level kwa pisi ilkua kalii ,sasa ile hofu ya kuogopa kuja kutangazwa hostel niki zingua ,, siku ya tukio nme toka kifuani taizi nahisi kizunguzungu na moyo una enda mbioo dem ana niuliza vipi nikaenda bafuni nasikia mwagwi kama mababu wana niita wana niijia na baiskeli ya kupaaa
NB
USIWAHI JARIBU AYA MA VITU
duuh wanawake muwe mnatulipa dadadeki yaani kumbe huwa mnaskikilizia hadi siku tatu!!Wanawasaidia sana matajiri majukumu. Tajiri kalemewa hela hafanyi mazoezi kitambi kinatangulia mbele futi moja ndio miguu ije. Presha kisukari nk. Akifanya dakika mbili wazungu hao na hapo anahema kama bata. Na wakati wengi wetu tunapenda kitu kisuguliwa hadi ukilala kesho yake unasikia vimaumivu. Yaani unagongwa leo utamu unadumu siku 3.
Kwanza matajiri wengi unakuta wanamichepuko ata mi5 na yote anaihudumia na bado waifu home anahita huduma unakuta anapiga nje akirudi home kachoka shoo mbovu waifu ndo anaamua kuchepuka kwasbb yeye haridhikiWewe umesema kwamba nguvu za kiume ni pesa. Nimekwambia matajiri wengi wana hela ila wanagongewa kwa sababu hawana hizo nguvu za kiume. Yaani wana hela ila nguvu za kiume hawana.
Kabisa..... lakini maisha ni majukumu....pesa ni muhimu sanaWanaocheki pono kwa sana...
Na kwanini mtu akimwaga Moja ana kuwa chalii na usingizi mzito unampitia??