Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Dah!... inatisha aisee...Hii kitu Kuna jamaa yangu ilimuondoa kizembe sana
Waliuza nyumba ya urithi mwanza 120M+ wakagawana z jamaa akakunja zaidi ya 55M ukiondoa ujinga wa madalali na legal fees+wapambe
Siku iyo iyo wenge halijamtoka akapiga pombe Kali kwenda mbele afu alikua na lishangazi Lina Tako balaa kalifukuzia sana bila mafanikio, basi bana Kama mjuavyo mademu wa mjini wananusa pesa basi lishangazi likamcheki Leo njoo mzigo nakupa
Jamaa akaogopa kuuza mechi akaenda bugia vegan za kutosha, aisee jamaa aliondoka siku iyo iyo, alimueleza jamaa yetu mmoja baada ya Kuona Hali inakua mbaya
Mtu una 55M ndo imeingia fresh money, bado una hangaika kulifurahisha lishangazi ambalo lishadanga sana mjini, STUPID!!! Anyway rip mwanangu victor!!!
Hata wastaafu wengi wanaohangaika na vibinti wamezikwa kwa kubugia ovyo haya madawa ili waweze kuhimili shoo.