Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga.
Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado naogopa kurudia makosa. Akili zikanituma nitumie dawa za kuongeza nguvu niwe fiti. Nikanunua dawa inaitwa Vega nikaificha bafuni. Tukapigana romance pale baadae kidogo nikaenda bafuni nikaipiga
Mashine ilisimama isivyo kawaida goli la kwanza nikakojoa baada ya nusu saa. Lakini wakati tunaendelea kichwa kikawa kinauma balaa, sina raha kabisa pale kitandani. Naona moyo unaenda mbio. Nashindwa nichukue tahadhari gani kwa sababu nilijinywea tu vega bila kupata ushauri wowote.
Baadae kidogo mashine hiyo nyuzi 360. Demu anaenjoy tu anakula mti wa uhakika. Lakini ndugu yake mawazo kibao labda nitakufa miye. Basi nikamuacha aikalie ajipimie mwenyewe. Mimi nimetulia tu.
Toka hapo nikaamua kufuata njia sahihi za kujiweka fiti. Piga sana tizi na kula vizuri. Hata yule aliyeniambia nina show mbovu akanishangaa sana nimekuwaje mtamu. Mpaka tukaoana tukawa mke na mme.
Sikukomaaaaa
Mara ya pili mwaka 2017 nikasafiri na dada mmoja. Yule dada alikuwa ni yale madude msambwanda wa maana. Dude kubwa limejazia ugali kidogo nyama nyingi. Katika mastori yule dada akaniambia bwana wake hamridhishi kabisa. Ana mwaka hajakojozwa. Kipindi hicho tayari ni mwana Jamiiforums. Nikaona hapa inabidi niiwakilishe Jamiiforums vizuri. Lakini je nina pumzi ya kula huu mzigo?!
Basi nikaamua nitafute mkongo labda hauna shida. Nikaunua jamaa akaniambia nipake nusu saa kabla ya show. Yule manzi nikawa naye nje tukala stori, kula misosi na kunywa vinjwaji mbalimbali. Mida ya kuiwakilisha Jamiiforums ilipokalibia nikachomoka kwenda kupaka mkongo. Nikapata halafu nikarudi nje kusubiri matokeo.
Show ilipoanza mashine ikawa kama imekufa ganzi. Imesimama moja kwa moja. Nikapiga sana tako lakini sikojoi. Mtoto ananiambia baby nimechoka basi kojoa-waapi. Mwili ukawa umechoka nikashuka jukwaani nikiwa sina raha.
My Take
Busta ni hatari sana unaweza kufa kitandani. Dont try