Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hii itatokea lini mkuu?View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Linafanyika na binadamuHii itatokea lini mkuu?
Zile ni nyotaJupiter sio nyota nia sayari tu iliyo kwenye mfumo wa nyota yetu (jua) .
Msitutoe kwenye reli kesi ya lissu, kuvamiwa Kwa faza na kupotea Kwa Mdude.View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Ukiacha jua letu nyota nyingine iliyo karibu inaitwa alfa centauri ipo miaka minne ya mwanga ,jupiter ni sayari kubwa katika mfumo wa nyota yetu jua ila ni ndogo sana kwa ukubwa kulinganisha na nyota yetu(jua) almost mara laki mojaZile ni nyota
Jupiter na Saturn ni nyotaKupatwa kwa Jupita.....
Tatizo lako umekaririshwa na wazungu toka kwenye hilo jela la fikraJupiter na Saturn haziwezi kuwa nyota, hazina uzito wa kutosha na joto la kutosha.
Halafu hayo mambo yanakusaidia nini kwenye urais?
Aisee.
Wazungu waliounda vyombo vya kusafiri angani, wakavitumia kudadisi haya mambo.Tatizo lako umekaririshwa na wazungu toka kwenye hilo jela la fikra
Jupiter na saturn = nyotaView attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Subiria NASA na wazungu waje wakuambieJupiter na saturn = nyota
Asante mwalimu kanjanja
Acha uongoJupiter na Saturn ni nyota